Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kilichotokea jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya African Football League kwenye mechi kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam TV ambapo kwa sekunde kadhaa kimakusudi walionyesha bango la mashabiki...
36 Reactions
221 Replies
20K Views
Shikamoo Rais Samia! Sisi wananchi makabwera, tunaumia sana Yaani tunaenda mathalani vituo vya Polisi una mkuta Afande ndani ya GWANDA la polisi ili akupe huduma nzuri kituoni unafika...
1 Reactions
5 Replies
865 Views
Huyu Mbunge alikuwa akichangia ripoti ya CAG akasema ifike wakati Wabunge waache kupiga kelele na kulialia bali waanze kuishinikiza Serikali kuwafunga Wezi na Mafisadi. Mbunge huyo amesema kuna...
34 Reactions
92 Replies
4K Views
Waziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 . Hii ni zaidi ya ile kelele ya...
25 Reactions
233 Replies
22K Views
Akichangia kuhusu ripoti ya CAG Esther Bulaya asema Sirro arudishe ambako anahumu kama Balozi aje kuwajibika kwa ubadhirifu aliofanya. Bulaya amesema mwaka 2018-21 Inspekta Jenerali wa Polisi...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
Serikali yetu imefunguliwa kesi kwenye Mahakama ya Usuluhishi kwa kuvunja Mkataba wa mradi wa Eco Energy uliokuwa ufanyike Wilayani Bagamoyo. Mradi huu ulikuwa utekelezwe na kampuni ya Agro...
10 Reactions
298 Replies
42K Views
Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo maalum na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mpina akiwa anachangia hoja amesema kamati imekiri suala la kutumia mzabuni mmoja lilikataliwa na PPRA ambaye ndio msimamizi mkuu wa manunuzi nchini, lilikataliwa na bodi ya manunuzi, na walikataa...
15 Reactions
34 Replies
4K Views
Siwezi kupata nafasi Bungeni kujadili Muswada wa Bima ya Afya kwa wote iliyowasilishwa na serikali. Natumia jukwaa hili kutoa maoni yangu ambayo naomba yazingatiwe kwenye majumuisho ya Mhe...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nani atalitendea haki jiji hili ambalo kila siku linarudi nyuma badala ya kwenda mbele, wananchi wa jiji hili waliamini kwamba kumchagua Tulia kungeleta nafuu barabara zingejengwa ikiwepo hii...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Soko la majengo Tunduma Songwe ni soko la wakulima na wafanyabiashara wadogo kinamama na wajasiriamali. Lakini kwa muda mrefu limetamaniwa na watawala kwa kuwambia wafanyabiashara kwamba...
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Habari za leo wana jamvi, Moja kati ya vitu vya muhimu sana ili nchi iendelee, lazima uongozi uwe vizuri. Viongozi wawe waadilifu na watambue kwamba wapo kwenye nafasi walizopo kwa ajili ya...
2 Reactions
6 Replies
917 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikiri wazi kuwa mimi ni mtu niliye jipambambanua waziwazi bila kificho kumuunga mkono kwa moyo wangu wote Dr Tulia kutokana na utendaji kazi wake mzuri, uchapa kazi wake...
4 Reactions
104 Replies
7K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Aziza Sleyum Ally kuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Uteuzi huu ni kufuatia kujiuzulu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Wakili Boniface Mwabukusi na mwanaharakati Mdude_Nyagali ambao walikuwa na mkutano na waandishi wa habari leo jijini Mbeya wamekamatwa na jeshi la polisi. Wawili hao walikuwa wakizungumzia...
10 Reactions
73 Replies
7K Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo ametoa pongezi kwa ushindi mnono alioupata Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kuwa Rais wa Umoja wa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka . Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao. Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
"Je, ni lini Serikali itakipandisha hadhi Chuo cha Maendeleo ya Jamii Musoma ili kiweze kutoa Shahada" - Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) "Ili Chuo kiweze kufikia...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Kuna wakati tuliambiwa China walimpa u-profesa JK. Hapo ilikuwa ni baada ya kupewa PhD za heshima huku na huko! Sasa tena mambo yameanza! La kujiuliza eti chuo kikuu cha India kinaona mchango wa...
16 Reactions
87 Replies
8K Views
Back
Top Bottom