Aziza Sleyum Ally ateuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
IMG_7883.jpg




Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Aziza Sleyum Ally kuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Uteuzi huu ni kufuatia kujiuzulu aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Bahati Keneth Ndingo
 
Back
Top Bottom