Hasira za nini ndugu zangu? Badala ya kupambana nao tumegeukiana sisi kwa sisi.
Majibu ya awali:
1. Mikataba 3 na wale ndugu, kwishney.
2. Konda boy ndani ya nyumba.
Na Bado!
Ama kweli...
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Makonda amepitishwa kwa kishindo na Halmashauri Kuu hivyo tutegemee Ushindi wa sunami kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
Source: Channel...
Kwa wale wenye uelewa mpana zaidi kuhusu Msikiti wa Al Aqsa unaoaminiwa kuanzia Palestine hadi Makka na Madina na UKUTA wa Kulia unaotumiwa na Wayahudi kuabudu lakini hata Wakristo wa duniani Kote...
Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa.
Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU...
Ubalozi wa Palestine umeweka poster kwenye bango la barabara ya kwenda Mlimani kufanya propaganda juu ya mtazamo wao
Sisi kama Taifa hatuwezi kuwazuia kuwa na mtazamo ni haki yao hata kama wana...
Nimeona nyuzi nyingi watu wakionesha hasira as if serikali Iko answerable kwa TEC. Hivi hamjui kwamba TEC wakizingua serikali inaweza kulifutilia mbali hata kanisa lenyewe?
Nendeni kwa kiduku...
Ni ushauri tu kwamba haina haja ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kujibishana na Mwenezi mpya wa CCM komredi Makonda
Tunataka Siasa za maswala na Hii ndio itathibitisha Chadema siyo informer...
TPA wameshindwa kuendesha bandari na sasa imekodishwa kwa wawekezaji.
SGR imekwama kukamilika kwa wakati kwa nchi kukosa wasimamizi wa ujenzi wenye ujuzi wanaothamini ukamilikaji wa miradi kwa...
Maspika waliogombea na TULIA Ackson wanatoka bara la Afrika. Nchi wanazotoka na hata mshawasha wa wapiga kura umekaa kwa nchi za ulimwengu wa kwanza zaidi.
Lakini pia bunge hili halina impact...
Mwanazuoni nguli wa sheria Prof. Palamagamba Kabudi anafaa sana kuwa Speaker wa Bunge la JMT baada ya Mhe. Tulia Ackson kuhitimisha awamu yake.
Prof. Kabudi (The Rod of Grace) ataifaa sana nchi...
Rais Dk. John Magufuli anatarajia kuwa mwenyeji na mwenyekiti wa mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC unaotarajia kufanyika Agosti 17 na 18...
Huyu jamaa yupo kwa mikakati maalumu na kila atachofanya kitakuwa kitakuwa kina mpa point za kuimalisha chama chake sasa kaeni mjisahau muanze kujadili hoja zake badala ya kujenga hoja zenu ili...
Aliyekuwa Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema ambaye ameteuliwa kuwa Msaidizi wa Rais Makundi Maalum na Wanawake huku nafasi yake ikichukuliwa na Paul Makonda kupitia ukurasa wake...
Kadi ya mwaliko tu inaulaghai tena kwa viongozi wa taasisi za dini. Kwamba kadi imeandikwa bila kueleza washiriki wanakwenda kusikia nini.
Kama kadi pekee inaweza ikawa na ulaghai uchaguzi...
Nimesoma Report ya TCRA Nimeona uzembe mkubwa sana unafanywa na serikali za maeneo ya Rukwa na Morogoro, Kwa karibu kila report yao TCRA , mikoa inayoongoza kwa Utapeli ni Rukwa na Morogoro
Kuna...
Katika kipindi ambacho wapiga Dili wapo kileleni mwa zamu Yao baada ya kubanwa takribani miaka SITA ya mwenda zake,kelele na vilio vinasikika Kila Kona nchini kwa ubadhirifu na upigaji...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola.
Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amezitaka taasisi zote za serikali zinazohusika na ukaguzi na udhibiti kuacha kufungia biashara na viwanda, kwani kufanya hivyo ni kusimamisha...
Ama kweli wazungu wana dharau sana.
Huku wakiita ni Umoja wa Mabunge ya Dunia lakini wagombea woote ni wafrica tu tena kutoka kwenye Nchi zisizo na Hadhi yoyote kwenye nyanja yoyote kidunia...
Falsafa ya Kisasi ni pana ndio sababu Yesu Kristo aliposulubiwa na Wayahudi alisema " Baba Uwasamehe hawajui Walitendalo"
Sisi Wakristo tunaamini Kisasi ni cha Mungu siyo chetu ndio Yesu Kristo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.