Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua...
Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:-
1. Gesi asilia ya kutosha
2. Makaa ya mawe ya kutosha
3. Mwanga wa jua wa kutosha
4. Nk nk
Leo tunaishia...
Biteko anastahili cheo alichopata baada ya kuwezesha mchango wa madini kuongezeka mpaka 10% la pato, lakini haina maana Majaliwa hafanyi kazi nzuri.
Majaliwa ni mfuatiliaji mzuri sana, lakini...
WanaJf,
SALAAM!
Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.
Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na...
Kuna taarifa kwenye magazeti kwamba katika kikao cha dharura cha NEC hoja kuu ni mkataba wa bandari. Lakini nijuavyo mimi hii siyo dharura wala hoja yakujadili kwa masaa kadhaa ikafungwa au...
Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya .
Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar...
Jana chadema walizua taharuki kubwa mitandao kwa kumtuhumu Mkuu wa wilaya ya Momba Mhe. Kenani kihongosi kwa kuwahujumu mkutano wao na mpaka wakashtaki kwa Askofu Mwamakula wao na yeye akaenda...
Kama mkataba wa serikali na DP World utaweka wazi kipengele kwamba mkataba utavunjika endapo DP World watashindwa kuingiza zaidi Trillion 20 kwa mwaka, kuleta ajira 70,000 za Watanzania bandarini...
Kuhusu Mbarikiwa Mwakipesile,
1. Amepinga vikali mkataba wa "kinyonyaji" wa bandari kupitia mahubiri yake. Kufungwa jela kunaweza kutafsiriwa ni kwa sababu ya kupinga mkataba huo kama ilivyokuwa...
Katika hali ambayo haijatarajiwa na wengi ni kutokana na muitikio hafifu wa wanachama wa CHADEMA katika mkutano uliopangwa kufanyika katika viwanja vya shule ya sekondari Nyerere hapa Tunduma...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba(Mb), ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kuhakikisha inaunganisha Mfumo mpya wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) na Mfumo...
Kila nikitazama utendaji kazi wa hii serikali, naona kama imekwenda likizo, watu wanafanya wanavyotaka, kila kiongozi serikalini anashindana kuiba, watu wanapiga za kuona, wizara zoote watu...
Nawauliza tu waungwana kama Bandarini patachanganya kwa kuwasili Mimeli mikubwa mikubwa je kuna haja ya Soko la Samaki na Kivuko kuendelea kuwepo pale Ferry?
Au Soko lihamishiwe Msasani na...
Hivi karibuni, tulishuhudia kuzinduliwa kwa tovuti ya kazi za Dkt. Salim Ahmed Salim. Uzinduzi huu ulihudhuriwa na vigogo mbali mbali bila kuonekana kwa mhusika. Kunani? Yuko wapi na katika hali...
Mheshimiwa jiandae, kuna wadau haswa wa daladala na abiria wazawa wa Kigamboni wanajikusanya hapa Ferry kuandaa maandamano kushinikiza uondolewe, maana huwasaidii. Kama utawahi nenda hapo kwenye...
Nmefuatilia sana toka achukue uongozi Rais Samia, kiukweli anaonekana kufaa sana. Nimeona Wapinzani nao wanakubaliana sana na maamuzi yake.
Ushauri wangu:
Huyu Rais tuliye naye sasa apewe nafasi...
"Asanteni sana kupeperusha Bendera ya CHADEMA kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Hakika CHADEMA ni imani kwa wengi!! Popote tusambaze matumaini ya Tanzania ya Haki, Uhuru, Demokrasia na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea...
- Awataka watoe ushirikiano kwa wawekezaji wanaoonesha nia ya kuwekeza nchini.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania walioshiriki katika Jukwaa la Tatu la Biashara na Uwekezaji baina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.