Watanzania tunaishi na unafiki mwingi sana. Wale woteee waliokuwa wanafurahii Makonda alipotolewa katika nafasi ya RC leo ndiyo wamekuwa wa kwanza kumpongeza na kuweka picha zake katika profile...
Baada ya sarakasi za kuahidi kuwa watatoa uhamisho mara 4 kwa mwaka, sasa wamekuja na ESS wakati watumishi wamepoteza nauli na usumbufu mwingi ili kukamitisha paper work ambazo tayari TAMISEMI...
Watanzania tumeletewa hoja mbili mezani. Moja ina maslahi mapana kwa taifa na nyingine 8nalenga kuwachekesha wakubwa.
Mkataba wa bandari unaathiri kwa kila mtanganyika.
Makonda hana athari kwa...
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia.
Kwa mujibu wa Sheria za...
Kwema Wakuu!
Katika vita vya kisiasa kuna kushinda na kushindwa. Kushindwa ni sehemu ya ushindi ikiwa mlipigana kwa umoja na ushirikiano kwa pamoja kama jeshi imara.
Lakini kushindwa...
Katika kipindi cha miaka miwili tu yaani kati ya mwaka 2021-2023, idara cha itikadi na uenezi CCM imeongozwa na wafuatao:
1. Humphrey PolePole
2. Shaka Hamdu Shaka
3. Sophia Mjema
4. Paul Makonda...
Ally Bananga ambaye sasa ni Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar, amejikuta anakula matapishi yake baada ya kuangukia mikononi mwa Makonda. Kumbuka Paul Makonda ni Mwanachama hai na mwaminifu wa CCM Mkoa...
Wanabodi,
Mjinga na Mpumba..
Leo naomba kuianza makala ya leo kwa angalizo kuhusu neno mjinga na mpumba. Mtu kuitwa mjinga ni mtu asiyejua, mjinga akiishafundishwa akajua, anaerevuka ujinga...
Sababu kubwa kwanini hawastahili kushitakiwa ni Katiba yetu inatoa mamlaka kubwa sana kwa taasisi ya Urais ,hivyo kila Rais anateua kulingana na mfumo anaotaka kuongoza.
Awamu iliyopita iliamini...
Nimemsikia mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akisema watarudi tena na tena Tunduma hata kama mkuu wa Wilaya atarudia kitendo cha kulipia Hotel zote ili wakose pa kulala kwani watalala kwa Wanachama...
Mzalendo msikivu, Mwenye huruma, anaye jali utu wa watu wa hali zote, muungwana kwa maneno na vitendo, mchapakazi makini, mahiri na hodari wa kuhubiri Amani, Umoja, mshikamano na utangamano wa...
Mapokezi ya Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mhe Abdulaziz M. Abood kwenye Kongamano la WOMEN SUPPORTING WOMEN 2023 lililoandaliwa na MORO SUPER WOMEN PRESENT linalofanyika kwenye ukumbi wa...
I think this is the poorest decision She has ever made?
Tunaheshimu tu Katiba lakini hafai kiwa kiongozi mkuu wa nchi.
Asaini asisaini. Hili jambo ni la kupingwa kwa nguvu zote. Kimyakimya na...
CCM kama navyo kitambua ni chama cha kidikteta kinacho ongoza nchi ya Tanzania.
CCM imejifunua kuwa chama cha kidikteta kwa kipindi kirefu bila uficho wowote kwa maneno na matendo.
Ila kuna...
Hi,
Wana CCM hatujawai kupata timu mbovu kama hii ya Chongolo na Mjema. Yaani hawa watu sijui walichaguliwaje, kichwani ni weupe kabisa, hawajui kujenga hoja, hawana ushawishi wowote.
Angalia...
MBUNGE ZAYTUN SWAI AGAWA MAJIKO NA VYEREHANI ILI KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mh. Zaytun Swai kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amegawa majiko ya gesi 10 na...
Leo 22-10-2023 Serikali imetengua nafasi ya Katibu uenezi wa CCM -Sophia Mjema ambaye hajadumu hata kwa miezi 3 kutokana na kupwaya sana na baada ya nafasi ya kumuweka kukosekana imetengenezwa...
Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".
Chama cha siasa husubiri serikali ikosee na kuvuna Kura iwapo...
Huu ni ushauri kwa CCM.
Uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu utakuwa mgumu sana kwa CCM tofauti na wanavyofikiria.
Ukosefu wa umeme
Ukame
Uuzwaji wa bandari unaosemwa
Kuhamishwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.