Esther Bulaya: Sirro arudishwe aje kupambana na hali yake!

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Akichangia kuhusu ripoti ya CAG Esther Bulaya asema Sirro arudishe ambako anahumu kama Balozi aje kuwajibika kwa ubadhirifu aliofanya.

Bulaya amesema mwaka 2018-21 Inspekta Jenerali wa Polisi alikuwa Simon Sirro, ambako kwenye mfuko wa Tuzo na Tozo na kufa na kuzikana katika jeshi la polisi mwenye mamlaka ya matumizi ya pesa kweny mfuko huu alikuwa Sirro ambako umetajwa ufisadi wa zaidi ya Bilioni 1, na kusema Sirro atolewe kokote aliko aje kupambana na hali yake.

Akisema kuwa viongozi wanatumia vibaya nidhamu ya kijeshi ya kutohoji kuwadhulumu askari wa kawaida, na kusisitiza Sirro atolewe kwenye ubalozi aje kuwajibika.

Bulaya akazidi kutema cheche kuwa, kuna wengine wametajwa wazi wazi lakini ni leo ni Naibu Katibu Maliasili na Utalii, mtu ambaye alitajwa wazi wazi lakini anapandishwa cheo! Kwanini?

Bulaya akaongeza kuwa waliwahi kutoa taarifa kuhusu ufisadi MSD ambako CAG alikuja kuthibitisha kwenye taarifa yake, lakini badala ya kuchukuliwa hatua amerudishwa jeshini!
 
Hawa kina Bulaya na wasaliti wenzake inaelekea sasa wataimaliza miaka yao mitano bungeni bila shida yoyote.

Maridhiano ilikuwa janja ya kisiasa kutuzubaisha tuone mama anatuunganisha, kumbe alikuwa anatukusanya vizuri ili tukishajaa kwenye mtego atulipue.

Ok, nikirudi kwenye hoja ya Bulaya anasema Sirro arudishwe aje kujibu tuhuma dhidi yake kuhusu bil 1 iliyopotea mikononi mwake, atuambie pia, yeye na wenzake 18 pale bungeni mpaka leo wameshakula kiasi gani cha pesa kama mishahara na posho zao? je, hiki kiasi hakijapotea mikononi mwao? hawastahili kuhojiwa kwa upotevu huo?

Kwa hali hiyo hapo juu, ajiulize kama yeye na wenzake wanayo credibility yoyote ya kuhoji juu ya upotevu wa pesa utakaofanywa na serikali ya CCM, ikiwa hata nao wanatumiwa na CCM hiyo hiyo kupoteza pesa za walipa kodi kule bungeni.
 
Hawa kina Bulaya na wasaliti wenzake inaelekea sasa wataimaliza miaka yao mitano bungeni bila shida yoyote..

Maridhiano ilikuwa janja ya kisiasa kutuzubaisha tuone mama anatuunganisha, kumbe alikuwa anatukusanya vizuri ili tukishajaa kwenye mtego atulipue ..

Ok, nikirudi kwenye hoja ya Bulaya anasema Sirro arudishwe aje kujibu tuhuma dhidi yake kuhusu bil 1 iliyopotea mikononi mwake, atuambie pia, yeye na wenzake 18 pale bungeni mpaka leo wameshakula kiasi gani cha pesa kama mishahara na posho zao? je, hiki kiasi hakijapotea mikononi mwao? hawastahili kuhojiwa kwa upotevu huo?

Kwa hali hiyo hapo juu, ajiulize kama yeye na wenzake wanayo credibility yoyote ya kuhoji juu ya upotevu wa pesa utakaofanywa na serikali ya CCM, ikiwa hata nao wanatumiwa na CCM hiyo hiyo kupoteza pesa za walipa kodi kule bungeni...
Uwepo wao Bungeni usipoteze ukweli kuwa alichohoji kina umuhimu
 
Hapo anatafuta huruma ya wananchi wala hana lolote
 
Akichangia kuhusu ripoti ya CAG Esther Bulaya asema Sirro arudishe ambako anahumu kama Balozi aje kuwajibika kwa ubadhirifu aliofanya.

Bulaya amesema mwaka 2018-21 Inspekta Jenerali wa Polisi alikuwa Simon Sirro, ambako kwenye mfuko wa Tuzo na Tozo na kufa na kuzikana katika jeshi la polisi mwenye mamlaka ya matumizi ya pesa kweny mfuko huu alikuwa Sirro ambako umetajwa ufisadi wa zaidi ya Bilioni 1, na kusema Sirro atolewe kokote aliko aje kupambana na hali yake.

Akisema kuwa viongozi wanatumia vibaya nidhamu ya kijeshi ya kutohoji kuwadhulumu askari wa kawaida, na kusisitiza Sirro atolewe kwenye ubalozi aje kuwajibika.

Bulaya akazidi kutema cheche kuwa, kuna wengine wametajwa wazi wazi lakini ni leo ni Naibu Katibu Maliasili na Utalii, mtu ambaye alitajwa wazi wazi lakini anapandishwa cheo! Kwanini?

Bulaya akaongeza kuwa waliwahi kutoa taarifa kuhusu ufisadi MSD ambako CAG alikuja kuthibitisha kwenye taarifa yake, lakini badala ya kuchukuliwa hatua amerudishwa jeshini!
Pitisheni Mafao kwa wenza wa mapolisi, mke wa Ci-roho naye anufaike.
 
Hivi mchafu anaweza kumnyooshea kidole mchafu mwenzie?

Sio huwa waswahili husema anza kwanza kutoa boriti kwenye jicho lako, then .....

..kwa Tanzania inawezekana mchafu kumnyooshea kidole au kumshughulikia mchafu mwingine.

..kwa kifupi kuna kutoana KAFARA. Kila utawala mpya unapoingia hushughulikia wachafu wenzao wa utawala uliopita.
 
Akichangia kuhusu ripoti ya CAG Esther Bulaya asema Sirro arudishe ambako anahumu kama Balozi aje kuwajibika kwa ubadhirifu aliofanya.

Bulaya amesema mwaka 2018-21 Inspekta Jenerali wa Polisi alikuwa Simon Sirro, ambako kwenye mfuko wa Tuzo na Tozo na kufa na kuzikana katika jeshi la polisi mwenye mamlaka ya matumizi ya pesa kweny mfuko huu alikuwa Sirro ambako umetajwa ufisadi wa zaidi ya Bilioni 1, na kusema Sirro atolewe kokote aliko aje kupambana na hali yake.

Akisema kuwa viongozi wanatumia vibaya nidhamu ya kijeshi ya kutohoji kuwadhulumu askari wa kawaida, na kusisitiza Sirro atolewe kwenye ubalozi aje kuwajibika.

Bulaya akazidi kutema cheche kuwa, kuna wengine wametajwa wazi wazi lakini ni leo ni Naibu Katibu Maliasili na Utalii, mtu ambaye alitajwa wazi wazi lakini anapandishwa cheo! Kwanini?

Bulaya akaongeza kuwa waliwahi kutoa taarifa kuhusu ufisadi MSD ambako CAG alikuja kuthibitisha kwenye taarifa yake, lakini badala ya kuchukuliwa hatua amerudishwa jeshini!

Shida bunge letu limekuwa la wapiga kelele. Wataongea weeh mambo yatabakia vilevile.
 
Ni vema kuwa tunafikiria na hili pia,
Unayesema Siro arudi kujibu tuhuma zake na yeye atahoji una uhalali wa kunihoji ?
Una uhalali wa kuwemo humo na kunihoji?
Hii ndiyo maana hata wanaotekeleza wizi huo wanajua ni akina nani watawahoji na uhalali wao.
Hatimaye business as usual.
 
Hivi hawa wazee wanastaafu na wanapewa majukumu mengine mbona haiko sawa, vijana wanaongezeka mtaani kila mwaka wanahitimu, inamaana hakuna kijana anaweza kupewa ubalozi.
Kijana gani utampa ubalozi? pad au ubalozi wa nchi? Wakina dulla makabila? Au diamond? Au jokate?

Sometimes kuna vitu kabla hamjaandika hata google kwanza. Ili thread hata ipate uzito mzee mwenzangu. Tafadhari.
 
Back
Top Bottom