benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo maalum na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulazizi Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba, 2023.