1. Amani,
2. Uongozi Bora,
3. Siasa Safi,
4. Demokrasia.
NB: nadra Sana kupata tunu hizi Kwa nchi nyingi Kusini MWA jangwa la Sahara. Mfano Somali, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Burundi, Rwanda...
Kwanza niseme wazi kuwa, tayari nimeunga mkono juhudi za Mama Samia kuendeleza bandari kwa kuwapa DP World baada ya kurekebisha vipengele vya mkataba.
Hivyo vipengele bado havipo public, but we...
Waziri Mkuu mara zote amejitahidi kuwaondoa kwenye nafasi zao wale wanaotumia vibaya fedha za umma. Amesimama mara kadhaa upande wa wananchi akipiga marufuku wizi wa fedha za umma.
Waziri wa...
- Ukomo wa mkataba umekua miaka 30 tofauti na IGA ambayo haikua na ukomo.
-DPW imepewa magati manne tu (no.4 hadi no.7) tofauti na awali ambapo ilipewa magati yote.
- Gati no.0 hadi no.3...
Wote wanaoamini Paul Makonda ni muhalifu na ushahidi wanao ni muda sasa wa kumshughulikia, japo hakuwa na mamlaka yoyote ndani ya miaka mitatu walishindwa.
Wasipoenda mahakamani ni kiashiria...
Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Habari...
Habari,
Kuna kipindi nilikuwa ninaamini Paul Makonda ni mtu mdoogo tena mtu wa kawaida sana,niliamini hakuna mtu anaweza kupoteza mda kwa ajiri ya kushughurika na huyu kijana Paul Makonda. Kumbe...
MbungeABOOD AZINDUA KIKUNDI CHA WANAWAKE WAJANE KATA YA MKUNDI SAMBAMBA NA KUSHIRIKI IBADA YA MISA STESHENI SDA CHURCH-KATA YA KINGOLWIRA TAREHE 28.10.2023.
UZINDUZI WA CHAMA CHA WANAWAKE WAJANE...
Wiki hii nilikuwa wilayani Itilima kikazi, hii ni wilaya ipo nyuma mno kimaendeleo, na ni wilaya iliyona wasukuma tu.
Basi katika kupitapita mtaani, nilikutana na watu wengi wanalalamika kuwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amekagua miradi miwili akianzia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusarifu dagaa cha ZAFICO na amewaagiza Jeshi...
Wamasai wanamsubiri kwa hamu kubwa Mfalme Charles III wa Uingereza Ili wampe ombi la kutaka kurejeshewa Ardhi yao iliyotwaliwa baada ya Uhuru
King Charles III atafanya ziara nchini Kenya hivi...
Mambo mazuri yanataka muda, nasi tumeamua kwa kauli moja twende pamoja kwa umoja hadi 2035 kutekeleza miradi ya kimkakati;
1. Bomba la mafuta toka Hoima -Tanga,
2. Upanuzi wa Bandari zote nchini...
Habari wana JF!
Ndugu zangu ninawaomba kila mmoja kwa wakati wake akiweza apite kwenye tawi lolote la NSSF nchini atake kupatiwa huduma yeyote ajionee jinsi pesa za walipa kodi zinavyotumika...
Kwanza kabisa nakupongeza kwa majukumu mazito ya kuwa sehemu ya Uongozi wa taasisi ambayo kwa sasa wewe ndiyo mtendaji mkuu.
Nataka kuamini unashaurika kupitia wanaokufahamu, pia hata na watu...
Huu uzi ni maalum kuwapa maua yao wenzetu kwenye siasa, CHADEMA, kwa uzalendo mkubwa wanaouonyesha kwa nchi yetu ya Tanzania. Na pia kwa muda mrefu wameonyesha kuishi kwa vitendo kwenye maono ya...
Wapendwa napenda tena kuwaita toka ndani ya moyo wangu, mje msimame na taifa la Israeli wakati huu, nina mengi sana ya kusema juu ya taifa la Israeli, watu wake, na jiji la Jerusalem, Si kwamba...
Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.
Makonda ana hasira...
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu.
Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu...
Kwa Mujibu wa maelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .
Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge...
Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.