"Tuna kiwanda cha Esther Bioscience Africa kinazalisha chanjo lakini chanjo nyingi tunaagiza nje ya nchi, tuna viwanda vya viuatilifu lakini bado viuatilifu tunaagiza nje ya nchi. Tukisema...
kwangu mimi raisi huyu yuko underrated na hapewi sifa zake anazostaili ingawaje ndiye raisi mwenye mchango mkubwa sana kwa tanzania ya leo, kwanza uchumi wa kati ulianzia kwake.
fikiria kampuni...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 8, leo Novemba 8, 2023.
https://www.youtube.com/live/EJYdReKJgo4?si=HbiC7GkWhGzGquFd
Kwa mujibu wa takwimu za Mfumo wa Taarifa za...
Niliwahi kuandika haya hapa chini kwenye moja ya magazeti hapa nchini. Japokuwa malengo yalikuwa tofauti kidogo kipindi hicho, maudhui yake bado yanasimama. Nape ameanza kupambana na CCM muda...
"Tunataka Utekelezaji wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025 uelekezwe Vijijini, watanzania walio wengi wako Vijijini, Mpango uende kwenye Maendeleo ya Vijijini (Rural...
Habari za mchana wana JF.
Hali ya sintofahamu imeendelea kwa siku mbili sasa katika kijiji cha Handa kilichopo katika Wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma karibu na mpaka na Wilaya ya Ikungi ambayo...
Kila halmashauri anayotembelea Waziri Mchengerwa Lazima atakutana na Uozo wa kutisha
Mawaziri waliomtangulia walikuwa wanafanya Kazi gani?
Hii nchi ngumu sana
Nitazidi kukuombea mh Mchengerwa!
Ukweli ni kwamba taarifa ya CAG imeonesha madudu mengi ndani ya serikali lakini tujiulize Nani amechukuliwa hatua? Kama CAG anapewa pesa nyingi kwa ajiri ya ukaguzi na hatua hazichukuliwi ni Bora...
Nimeshuhudia mahujaji Wengi wanaojihusisha na Siasa pamoja na kuenda Miji mitakatifu kutubu bado wanaendelea kula Rushwa na kusema Uwongo.
Tena wengine Wana kesi kabisa Mahakamani.
Kwanini...
MBUNGE JAFARI CHEGE AHOJI WAKURUGENZI WALIOSABABISHA UPOTEVU WA FEDHA WAMECHUKULIWA HATUA GANI?
"Nampongeza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa namna anavyowajibika...
MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA
"Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya...
Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi.
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema...
Wadau nawasabahi. Naomba niingie kwenye madam moja kwa moja. Hoja yangu ni juu ya utekelezaji wa hukumu za mahakama. Kumekuwa na utaratibu wa kupuuza utekelezaji wa hukumu zilizotolewa na mahakama...
28 October 2023
Pemba, Zanzibar
MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MTAMBWE PEMBA, ACT-WAZALENDO WAIBUKA KIDEDEA
Picha: Dr. Mohamed Ali Suleiman wa ACT-Wazalendo akizungumza wakati wa kampeni...
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali ameagiza Jeshi la Polisi kumsaka popote alipo na kumkamata Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Godbless Lema ili ahojiwe kwa...
Jana kupitia taarifa ya habari ya saa mbili usiku nilishuhudia aliyekuwa Mkurugenzi wa Kigoma Ujiji akifikishwa Mahakamani na wenzake kumi na moja kwa ajili ya upotevu wa shillingi takriban...
PhD holder yoyote midahalo ni sehemu ya maisha kama ilivyokuwa kwa Prof. Lipumba huko Duniani.
Ningekuwa Dr. Mwigulu PhD nisingeipoteza fursa hii adhimu ya Mdahalo kati ya Waziri wa Fedha wa CCM...
Misingi ya sheria hizi imeanzia mwaka wa 1949 katika mkutano wa kimataifa wa kidiplomasia ulifanya marekebisho katika sheria nyengine za kimataifa za hapo awali
Vita vinapotokea katika maeneo...
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.
Ikumbukwe kuwa mwana...
ACT Wazalendo 2015 walifanikiwa kupata Halmashauri ya Kigoma ambayo sasa imerithiwa na CCM na ndio inaongoza kwa Wizi na Ufisadi.
Niwapongeze Chadema ambao Iringa, Mbeya, Moshi nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.