Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
4,433
4,223
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.

Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni na sasa kaandamana na ujumbe wa Rais nchini India.

Huyu mwana ana wadhifa gani ndani ya serikali ya Muungano wa Tanzania? Naamini haya ni maswali yasiyoepukika hasa kwa wanaolitakia mema Taifa hasa Kwa masuala ya utawala Bora na kulinda Rasilimali za Taifa .

View: https://youtu.be/fCKlJX19s6w?si=EKNnnJd2Gcag64N_

Salaam aleikhumu .
 
Kwani mtoto wa Rais kuwepo mahali hapo ambapo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania alikuwa anatunukiwa udaktari wa heshima amevunja sheria ipi? Kifungu kipi cha katiba kimevunjwa cha yeye kushuhudia mama yake na Rais wetu akipata na kupewa heshima hiyo ya kipekee inayotokana na utumishi wake na uchapakazi wake uliotukuka kwa Taifa letu? Acheni wivu na chuki zisizo na sababu.Tujikite kwenye mambo ya msingi na siyo umbea umbea tu yenye mawazo ya chuki.
 
umekalia gogo tu hapo una manga manga kutaka uonekane wenzio wanakula nchi bwege wewe...... wewe unakula vumbi tu na huonekani hata kwenye teuzi maana ni chawa hutakiwi kukaa karibu na binadamu .......
 
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.

Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni na sasa kaandamana na ujumbe wa Rais nchini India.

Huyu mwana ana wadhifa gani ndani ya serikali ya Muungano wa Tanzania? Naamini haya ni maswali yasiyoepukika hasa kwa wanaolitakia mema Taifa hasa Kwa masuala ya utawala Bora na kulinda Rasilimali za Taifa .

View: https://youtu.be/fCKlJX19s6w?si=EKNnnJd2Gcag64N_

Salaam aleikhumu .

Vizuri kula na nduguzo
Charity begins at home.
Sema Kwa taratibu za kwetu, mwanamke hatakiwa kusafiri peke yake bila *'Maharim' wake.
 
Ukisikia utawala wa ukoo ndo huu. Ndiyo maana wanaficha majina ya wanaoandamana na rais. Ufisadi mtupu. Ila yatawatokea puani
Kwani wote wanaokuja kututembelea Tanzania huwa unakuwa na orodha ya majina yao? Sheria ipi na kifungu kipi kinachosema hayo unayozungumzia? Kwani ni wapi katika katiba yetu ambapo Rais anakatazwa kuwa na familia yake? Kwani Obama hakuwa akisafiri na watoto wake? Watanzania tuache chuki na umbumbumbu wa kimawazo na kifikra
 
umekalia gogo tu hapo una manga manga kutaka uonekane wenzio wanakula nchi bwege wewe...... wewe unakula vumbi tu na huonekani hata kwenye teuzi maana ni chawa hutakiwi kukaa karibu na binadamu .......
Utakufaa namichuki yako ya kijinga na kimasikini.Tangia lini katiba yetu ikapiga marufuku Rais kuwa na familia yake au mtoto wake akitaka kwenda naye mahali? Kwani Rais hana uwezo wa kumlipia mwanae Nauli? Pasukaaa kama umetumia.pambana na wewe upate nauli usafiri nje ya nchi
 
Akihutubia katika chuo kimoja huko India JAWAHARLAL NEHRU UNIVERSITY, nchini India Rais amemsimamisha na kumtambulisha mwanae wa tatu Abdul kwenye mkutano huo.

Ikumbukwe kuwa mwana huyu alionekana akiwakilisha nchi kwenye mkutano mmoja na Rais wa nchi ya Uganda mh Yoweri Museveni na sasa kaandamana na ujumbe wa Rais nchini India.

Huyu mwana ana wadhifa gani ndani ya serikali ya Muungano wa Tanzania? Naamini haya ni maswali yasiyoepukika hasa kwa wanaolitakia mema Taifa hasa Kwa masuala ya utawala Bora na kulinda Rasilimali za Taifa .

View: https://youtu.be/fCKlJX19s6w?si=EKNnnJd2Gcag64N_

Salaam aleikhumu .

Bibi lenu Lina kiingereza kibovu yaani empty headed purely. Huyu ndio apitishwe na CCM 2025 over my dead body, CCM haijaoza kiasi hicho, my third born, there two a head of him, hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom