Mbunge wa jimbo la Ukerewe (CCM), Mhe. Joseph Mkundi ameishauri serikali kuwekeza katika huduma za kijamii ili kukuza uchumi wa taifa.
Mhe. Joseph Mkundi ameyasema hayo Novemba 7,2023 bungeni...
Polisi Kyela walifika Itunge, Kyela katika Mkoa wa Mbeya nyumbani kwa Askofu Mwamakula, usiku huu majira ya saa 6:40 usiku. Walipofika waligonga mlango, walipofunguliwa wakaulizia Askofu. Ndugu...
Ndugu zangu wana Mbeya, mimi ni miongoni mwa wapingaji wakuu wa mkataba wa uwekezaji bandarini, hususani ile IGA. Huo mwingine bado hatujui kama ni mzuri au tumepigwa.
Lakini, kuna njia sahihi na...
Demokrasia ya Vyama Vya Siasa ya Nchi Hii Haitakuwa, Endapo wafuatao hawataachia ngazi Nafasi zao za Uongozi kwenye Vyama vyao
1. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
2. Freeman Aikael Mbowe
3. Maalim...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 6, leo Novemba 6, 2023.
https://www.youtube.com/live/5b96dhbHqyo?si=pgTrPHJvwGnYJKTO
SPIKA TULIA: WABUNGE MARUFUKU KUZUNGUMZA...
Nimesikiliza clip ya Mpina Luhaga akihojiwa na chombo fulani cha habari na kuibuka na hoja mpya kwamba ana jedwari linaloonesha upotevu wa Tril. 30 ambazo anasema hoja zake zinatokana na ripoti za...
Tangu jana Mahakama ya rufaa imeanza kutumia mfumo wake mpya wa ku file kesi online. Mfumo huu umekuwa kikwazo na pia unaflchelewesha mashauri. Mfano kwa kesi ambazo ni za rufaa kutoka mahakama...
Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ametembelewa na Marafiki zake kutoka Mbeya.
Awali akiwa anazungumza na wageni hao, Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Dotto...
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akihojiwa kuhusu Uganda kupitisha sheria ya ushoga, amesema nafasi ya Uingereza juu ya haki za LGBT+ duniani iko wazi.
"Tunaunga mkono haki za...
"Huu ni ushauri wa bure kwenu waungwana."
Ni muhimu kuyatambua yafuatayo:
1. CHADEMA kimekuwa ni chama chaguo la wengi kwa muda mrefu.
2. Si kwa sababu ni chama bora sana, ila ni kwa kuwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amepongeza uamuzi uliofanywa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambalo ndio Mamlaka ya nidhamu ya Watumishi...
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa ripoti ya CAG unaoendelea bungeni kuwa mjadala wa...
Wapendwa,
Kwa muda sasa nimekua na ziara ya muda mrefu kujifunza, kusoma ramani na kupima upepo wa kisiasa, kuskiza maoni, mitazamo, ushauri na kwakweli kusaidiana na wananchi wa Jimbo la chemba...
Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane...
Serikali imesema hata magari ya mabosi itawauzia Ili kubana Matumizi hii maana yake Matumizi ya Serikali ni makubwa kuliko Mapato.
Wakili Mwabukusi anataka tuandamane Ili Bandari isikodishwe...
Mkurugenzi wa TRC mh Kadogosa ambaye kitaaluma ni banker amesema kabla ya kuinunua Mabehewa ya kujaribia reli ya SGR walikuwa na option tatu, kununua Mapya showroom, Kukodi au kununua Mitumba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika Halfa ya Uzinduzi wa Idara Jumuiya ya Maridhiano na...
Wananchi wanapokuwa na jambo lao katiba inawaruhusu kuandamana au kukusanyika kuliongelea.
Kwenye hili, polisi ni mawakala wa wanaolalamikiwa. Mlalamikiwa au wakala wake wanaupata wapi uhalali wa...
Mitambo ya Songas yafikia kikomo kuzalisha gesi
Thursday, 28 July 2011 20:59
Said Powa, aliyekuwa Kilwa
Mwananchi
KAMPUNI inayochimbaji, kusafirisha na kuzalisha umeme wa gesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.