ACT walikuwa na halmashauri moja tu ya Kigoma lakini ndio inaongoza kwa wizi, niwapongeze Chadema Iringa tuko vizuri

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,114
ACT Wazalendo 2015 walifanikiwa kupata Halmashauri ya Kigoma ambayo sasa imerithiwa na CCM na ndio inaongoza kwa Wizi na Ufisadi.

Niwapongeze Chadema ambao Iringa, Mbeya, Moshi nk hawajawarithisha CCM Wizi labda pale Ilala tu ambapo CCM walipapora na ndio ofisi Yote ya Uhasibu wako Kizimbani.

ACT Tanganyika Mjitafakari.
 
Back
Top Bottom