Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameazimia kupeleka Misheni ya Ulinzi wa Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC) kushughulikia...
1 Reactions
5 Replies
759 Views
Maandiko yanasema sikumbuki ni mstari gani nisiwe mnafiki ila najua upo mstari unao sema "Ya kaizari mpe Kaizari na Ya Mungu Mpe Mungi" Mtanisaidia wana jf kuniweka sawa kama nimekosea...
1 Reactions
1 Replies
353 Views
https://youtube.com/watch?v=6O75Oiw0xZs&si=XMOFwh0wGiRDG1XD Historia itabaki hivyo, pamoja na kuvurugiwa sana hotuba zake Bungeni. Kwa kuomba miongozo ya spoka na taarifa zisizo na kichwa wala...
1 Reactions
1 Replies
421 Views
Rafiki yangu Paulo Makonda mimi sifi leo sina ubaya na wewe,ingawa sinaga urafiki wa kweli na wewe zaidi ya urafiki wa kinafiki. Nina imani utakuwa unakumbuka ulivyowai taka kunikunja TAI enzi...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Mawaziri wanatumia mamlaka yao vibaya (huu pia ni wizi) Wakurugenzi wa taasisi wanaiba. Wakurugenzi wa halmashauri wanaiba. watumishi wa kawaida wa halmashauri wanaiba. Kibaya zaidi wezi hawa...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Namuangalia huyu Mbunge. Naona amesifiwa kukimbia anapitiliza hadi kwao. Haya anayoyasema ni maneno mazito sana. Watu washaanza kumwangalia kwa jicho la utulivu. Anahatarisha maisha kwa mitanzania...
-3 Reactions
70 Replies
7K Views
TAARIFA za kuaminika kutoka ndani ya kikundi cha CHADEMA zinasema kuwa mpango na mkakati wa kumpokea Luhanga Mpina kama mwanachama wao mpya kuelekea uchaguzi wa 2025 umekamilika na anatajwa kuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameitaka Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), kutokafanya kazi za maofisi na badala yake kutembelea na kukagua na kufuatilia utekelezaji...
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Kwanza ikumbukwe kuwa mbunge ni Diwani na ni Mjumbe wa Kamati ya Fedha ya Halmashauri Jana Wabunge wamewatupia lawama Wakurugenzi wa Halmashauri Kwamba hawana Ubunifu wa kubuni vyanzo vya Mapato...
0 Reactions
0 Replies
338 Views
Kunazidi kucha Bungeni, Yumo Mwigulu Mbarawa, Kadogosa ---- Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) leo Jumanne amesema kutokana na madudu yaliyoibuliwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...
16 Reactions
89 Replies
12K Views
Kuna msemo unaosema kwamba, mchawi aliyeua, hulia kwa sauti kubwa na kugaragara siku ya msiba" wabunge wanalia ubadhirifu, upande wa pili, wamelamba fedha ya Wana ilemela, ambayo ingenunua...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kila mtu anamtizamo wake kwenye performance ya mawaziri wa sasa. Kama tukiambiwa tupige kura ya waziri mzigo naamini utakuwa na chaguo lako. Pamoja na tathimini yako bado internally within cabinet...
1 Reactions
7 Replies
779 Views
Sakata la ripoti ya CAG lilishafungwa na Waziri wa Fedha. Asingeweza kutamka mbele ya Mhe. Rais kwamba hakuna wizi kama hizo taarifa siyo ya baraza la mawaziri. Wabunge wanapoona hakuna waziri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato. Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi...
12 Reactions
85 Replies
11K Views
TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi...
14 Reactions
27 Replies
2K Views
ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza...
20 Reactions
231 Replies
16K Views
Enzi za mwalimu Nyerere aliwatosa Israel na akawakubali Palestine na hadi kuweka ubalozi. Zama hizi Tanzania imepiga kura ya veto kupitia UN, kupinga kile Israel inachokiita kusafisa magaidi ya...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Bima kwa watu wote sio mchezo mchezo kama huu. Watu wetu wanaugua sana kutokana na mbu wengi, funza wengi, ajali nyingi, takataka nyingi mitaani na majumbani, ukosefu wa chakula, ukosefu wa maji...
15 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni kutokana na hofu ya kusambaratika. Ishara za kumegwa na kumeguka kwa chadema left, right and center ni dhahiri. Mathalani kwa upande ule kuna kundi la wanaojiita sauti ya wananchi, upande huu...
0 Reactions
0 Replies
461 Views
Back
Top Bottom