RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Ukweli ni kwamba taarifa ya CAG imeonesha madudu mengi ndani ya serikali lakini tujiulize Nani amechukuliwa hatua? Kama CAG anapewa pesa nyingi kwa ajiri ya ukaguzi na hatua hazichukuliwi ni Bora pesa hiyo iwe inapelekwa kwenye miradi ya maendeleo hayo maigizo tunayoyaona bungeni ya kufokeana na kuombana taarifa hayana msingi wowote.
Hela ya umma inaliwa na wachache tena unakuta ni mikopo kutoka nje halafu tunalipa Sisi aisee hii ni dharau kubwa kwa wananchi.
Hela ya umma inaliwa na wachache tena unakuta ni mikopo kutoka nje halafu tunalipa Sisi aisee hii ni dharau kubwa kwa wananchi.