Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM ukifika msimu wa kuelekea uchaguzi huwa wanazika tofauti zao na kuungana ili kushinda uchaguzi. Wakati Upinzani ukikaribia uchaguzi ndipo huanza kugombana na kufarakana. Upinzani acheni uzwazwa.
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amesema kuwa bado anashangaa kuendelea kuwaona ofisini viongozi ambao aliowataja kwenye ushahidi wa kutumia rushwa kununua madiwani wa Chadema mkoani...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Je mmekubali wezi wanyongwe? Je mmekubali Siro aitwe ahojowe na Bunge? Je mmekubali yule aliyetaka kumpiga Mchemb na Rais kwenye ununuzi sa ndege aendelee kusubilia kuchukuliwa hatua? Tunataka...
0 Reactions
3 Replies
486 Views
WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nichukue fursa hii kuwapongeza Spika Tulia na Mawaziri Mchengerwa na Bashe kwa kuutendea Haki Mjadala wa Taarifa za Kamati za Bunge kuhusu Ripoti ya CAG. Niwe mkweli Mawaziri wagalatia walijikita...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu mkurugenzi alie tumbuliwa leo na Waziri wa Tamisemi, Aliteuliwa na Rais akapelekwa kigoma akafanya kazi baadae akaamishiwa Tabora nina swali hapo Mh Rais akiwa anawaamisha wateule wake huwa...
0 Reactions
1 Replies
610 Views
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mohamed O. Mchengerwa (Mb), amemsimamisha kazi aliyekua Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji ambaye...
7 Reactions
36 Replies
6K Views
Dec 20, 2022 serikali ilisaini mkataba wa ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma kilometa 506km. $2.7bn (Sh6.34 trilioni) na ujenzi huu unatarajiwa kuchukua miezi 48. Kwa kusaini kipande hiki, Serikali...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo hii CCM hawajibu hoja za wapinzani(Labda ni nyepesi) wako bize "Kuijibu" serikali ya awamu ya tano. Kwa sasa mpinzani mkubwa wa CCM ni serikali ya awamu ya tano, na kidogo wanaharakati...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Picha ya Pamoja ikimwonyesha Mhe. Halima Mdee na wenzake 19 mara tu baada ya kuapishwa na Spika Job Ndugai (hayupo pichani) JIjini Dodoma Juzi Nimepata fursa ya kusikiliza maelezo ya Halima James...
6 Reactions
123 Replies
13K Views
Ripoti ya CAG ikiendelea kusomwa Bungeni na wabadhilifu kutajwa huku kwetu wananchi wanachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria. Najiuliza yule bwana aliyeongeza bei ununuzi wa ndege anafanya...
2 Reactions
0 Replies
540 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
======================================= FUATILIA MAJIBU YA SERIKALI HAPA;Majibu ya serikali kuhusu ripoti ya PAC (click) =============================== Habari wakuu, Baada ya jana ripoti...
18 Reactions
2K Replies
188K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku saba kuanzia leo (Alhamisi, Desemba 17, 2020) kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, maofisa wanaochambua maombi ya ununuzi wa magari Ofisi ya Waziri Mkuu na...
7 Reactions
256 Replies
27K Views
Nilikuwa namsikiliza mwenyekiti wa maisha wa chadema anaongea na wazee wa chadema huko Unguja. Nimecheka na kusikitika sana, yaani anawapiga porojo tu, hakuna sera kabisa. Amesema wao ni vitu...
7 Reactions
58 Replies
6K Views
Sisi wananchi tunasikitika sana kuona Wabunge nao wanalalamika kuhusu wizi/ubadhilifu unaotekelezwa makusudi na watendaji wa serikali. Kila mwaka mafuru yaleyale, bunge linalalamika bila kuchukua...
1 Reactions
0 Replies
301 Views
Hivi mtu uko kwenye safari zako sijui umetokea wapi mi nakuona kama jirani/rafiki au ndugu napaki gari pembeni mimi ndo naelekea upande wa mjini wewe ndo unarudi unavuka barabara unakuja upande wa...
8 Reactions
62 Replies
3K Views
Wanabodi, Salaam! Leo nimeona clip moja ya mbunge kijana akitoa hoja bungeni Dodoma kuhusu umuhimu wa uwepo wa adhabu ya kunyongwa mpk kufa kwa watu watakaopatikana na hatia ya wizi. Mchango...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Filipo Mulugo Mbunge wa Songwe alinukuliwa alisema Nchi inakufa hii wakati akichangia taarifa ya CAG. Wakijibi hoja Mawaziri wamemshukia Vikali Mbunge Mulugo Kwa Kauli yake hiyo kwamba ni dhihaka...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Sijaelewa kama hizi ni mbwembwe tu kwa sababu Uchaguzi mkuu umekaribia au ni kweli Wabunge hawa wanamaanisha kweli Mafisadi wanyongwe Ila kwa kuwaangalia tu usoni ni Wazi kuna shida mahali ama...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom