Kinachokwendwa kufanywa na wakili Mwabukusi na mwanaharakati Mdude tarehe 9/11/2023 juu ya maandamano waliyopanga ni kujaribu kuficha aibu ya kuumbuka kwa upotoshaji wao.
Maandamano hayo ya...
Rais Ruto wa Kenya ametangaza kufuta mpango wa kubinafsisha Bandari ya Mombasa na amesema kamwe hatafanya hivyo katika Utawala wake
Source: Citizen TV
My take; Hii ni fursa nzuri kwa TPA na DP...
Serikali Kupitia Mwigulu na Mbarawa jibuni hoja za Mpina.
Inakuwaje Sgr progress ni kidogo kiasi hiki kama taarifa za Mpina ni sahihi.?
Pesa mnalipa kweli Kwa mkandarasi au Sgr sio kipaombele...
Serikali inasema kwasasa wanamalizia mazungumzo ya mkataba wa LNG wakati huo huo DP World wamesaini mikataba mingine.
Sasa ni kwanini hiyo mikataba haiendi bungeni na kuwekwa wazi? Juzi tu hapa...
Bila shaka kujua wasifu wa Mtumishi yeyote wa EWURA hasa kwa vile ni Mtumishi wa Umma si kosa kisheria.
Basi na mimi kama raia wa Tanzania ningepependa kufahamu wasifu wa mtumishi huyu wa nchi...
Mbunge wa jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina amedai kuwa, kuna upigaji na ubadhirifu wa shilingi trilioni 6.5 katika maeneo ambayo ni ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), IPTL, mradi wa umeme wa Julius...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya...
08 November 2023
Dar es Salaam, Tanzania
Wana-DSM wakataa kuitikia salaam ya RC Albert Chalamila ya : Jamhuri ya Tanzania Kazi Iendelee!
https://m.youtube.com/watch?v=kM_aAsBDN74
RC Albert...
Kumekuwa na malalamiko mengi ya mifumo ya tehama serikalini kuzimwa makusudi ili wafanyakazi wezi na viongozi wezi waweze kuiba.
Ushauri wangu ni kuweka kikosi maalumu kuhakikisha mifumo yote...
Mhe. Waziri wa Mipango anatamba kuwa kutokana na mpango huu wananchi watawezeshwa na umaskini utaenda kupungua binafsi ninasema HAPANA.
Kama umeme ndio huu, bei ya mafuta ndiyo hiyo, bei ya...
Mimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6...
Habari za muda wapenzi wa Jamii Forums.
Nimeona na mimi nitoe kidogo maoni yangu ya utawala awamu hii ya 6 chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kwa tathmini fupi katika kipindi hiki cha muda...
"Uzalishaji wa Tumbaku kwa miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imepanda mpaka mwaka 2023 zimezalishwa Kilo Milioni 122 sawa na dola za kimarekani Milioni 341 za Tumbaku. Msimu wa...
Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Dk. Pius Chaya ameihoji serikali je, ni mkakati kuhakikisha inapambana na tembo ambao wamekuwa kikwanzo kwa wakulima wa korosho jimboni hapo?
Amesema...
"Katika taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025, Matarajio yangu ni kuona sasa kuwa na Mipango ya Nchi yetu ambayo inatekelezeka kwa muda mfupi na muda mrefu...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS trilioni 47.4 katika bajeti ijayo. Mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa TZS trilioni 34.4, washirika wa...
Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amemuaga Balozi wa Australia nchini mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. Luke Williams baada ya...
Mambo mawili yametokea mwezi huu:
Kwanza JF iliwaexpose watoto wawakubwa ambao kuna habari kuwa wamepewa kazi pale BOT kwa upendeleo au kutokana na nafasi za kisiasa za wazazi wao
Pili huu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiona ‘video clip’ ya abiria wa treni Jijini Dar es Salaam maarufu kama...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka 2024/2025.
Dkt. Nchemba alisema hayo Bungeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.