Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

📌📌 MAKONDA AKIHOTUBIA MKUTANO WA HADHARA - MWANZA "CCM ni Chama bora kwa sababu kinao uwezo wa kujikosoa, kujisahihisha na sifa ya kubadilika kutokana na mazingira. Chama kimepita katika nyakati...
0 Reactions
2 Replies
631 Views
Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM. Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri. Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam, Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria. Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi. Ni kweli Polisi...
12 Reactions
29 Replies
4K Views
Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani...
4 Reactions
6 Replies
592 Views
Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala...
14 Reactions
24 Replies
4K Views
Daraja la Aga Khan-Cocobeach halina uharaka sana wala ulazima kujengwa kwa wakati huu ukilinganisha na umuhimu wa flyover ya Magomeni-Fire, wazungu wanasema it's important but not necessary. Kama...
25 Reactions
77 Replies
12K Views
Kwa macho ya kawaida unaweza kufikiri lengo la daraja hili ni kupunguza foleni ya Salender Bridge na kuwaondolea wananchi wa Dar kero ya foleni. La hasha daraja hili linalojengwa kwa gharama kubwa...
84 Reactions
239 Replies
33K Views
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa. Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Huyo kijana hapo atakufaa sana... combination yake na Makonda itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Kwanza kaonesha ukomavu sana, tangu apumzishwe anapiga zake shughuli za kilimo.
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika! Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba. Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
1. Huyu bwana kwanza anaipenda siasa. 2. Anapenda kuongea 3. Hachoki kuongea 4. Hachoshi akiwa anaongea na wananchi. Basi tu ila nchi yetu inahitaji viongozi kama hawa. Tungeongezea na nguvu...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na...
59 Reactions
107 Replies
10K Views
"Ndugu zangu wa kanda ya ziwa tulipata bahati ya kuwa na Mwasisi wa Taifa hili Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, tukapata bahati tena ya kuwa na Rais wa awamu ya 5 Hayati John...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi inayodondoshwa na wananchi ni vile tu lawama tumeamua kumpa Rais. Yes katiba imempa mamlaka makubwa sanaa rais lakini nchi haiwezi kuendeshwa wala kujengwa na mtu mmoja labda uwe...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania . Bado...
25 Reactions
160 Replies
17K Views
Msikile Waitara akitema cheche hapa Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo...
6 Reactions
84 Replies
7K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijawahi kuona uchaguzi katika ngazi ya mtaa au kijiji popote, sijwahi kuona mabango ya wagombea katika ngazi hii, sijawahi kuona kampeni zake, sijui ni watu wangapi huwa wanachaguliwa na raia...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
kwa sasa huwezi kujua kama bwana zitto kabwe yupo Tanzania au hayupo . huyu mpigania haki zetu watanzania. kwa sasa haki anapata sidhani kama ana sababu tena ya kupiga kelele. ametulia hii ni...
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Kiwanja cha Ndege cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kimekabidhiwa rasmi kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA) kutoka kwa iliyokuwa Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji Kiwanja...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom