Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau nawasabahi. Nichukue fursa hii kuwapa Pole mamilioni ya watanzania wanaoteseka na tatizo sugu lisiloisha la MAFURIKO eneo la Jangwani Jijini Dar. Tatizo hili limekuwa ni agenda ya kisiasa...
1 Reactions
2 Replies
459 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameripoti kwenye kituo Kikuu cha Polisi Arusha Mjini , kwa ajili ya kuendelea kutoa maelezo kutokana na kile kinachoitwa kufanya mikutano bila Kibali huko...
20 Reactions
68 Replies
6K Views
Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye. Ikumbukwe pia...
8 Reactions
19 Replies
5K Views
Wanajamvi kama uzi unavyojieleza,binafsi tatizo kubwa la changamoto ya mafuriko yasiyoisha nimeona kwenye suala la uchafu wa mazingira uliokithiti kama chanzo ambayo inaathiri kwa kiasi kikubwa...
1 Reactions
6 Replies
846 Views
MBUNGE JAFARI CHEGE AITAKA SERIKALI KUFANYA MABORESHO YA SERA YA ARDHI MWAKA 1995 "Je, ni lini Serikali itafanya maboresho ya Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995" - Mhe. Jafari Chege Wambura...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Kwenu baba zetu maaskofu. Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo. Baba zetu, siku zote Taifa letu linapokuwa katika...
18 Reactions
146 Replies
9K Views
Gazeti la Citizen Tanzania moja kati ya Magazeti ya Kingereza ambayo yana heshima kubwa Nchini leo April 24,2024 limebeba habari ya jinsi Tanzania ilivyoweza kuzishinda Nchi zote za Afrika katika...
3 Reactions
9 Replies
960 Views
Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo...
16 Reactions
83 Replies
5K Views
CHADEMA kuweni wabunifu acheni kupiga mayowe na kulialia kuweni wabunifu acheni kupiga mayowe na kulialia Mbona Nyie mkipanda Chopa hakuna anayewabughuzi? Ni hilo tu Kwako FaizaFoxy 😂🔥
0 Reactions
9 Replies
501 Views
Makali ya umeme yatapungua kwa kiasi kikubwa kufikia mwanzoni mwa 2024, kupitia juhudi za Serikali kupunguza upungufu wa umeme kutoka Megawati 810 na kufikia megawati 240. - Naibu Waziri Mkuu na...
1 Reactions
3 Replies
739 Views
Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais.... Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukifatilia coment nyingi kila post ya Makonda kutoa maagizo ikipostiwa ni negative anavuka mipaka haba mamlaka ya kumwagiza pm/wazir ay wakuu wa mikoa amejisahau anarud yule yule wa zamani...
3 Reactions
6 Replies
727 Views
hapo zamani za kale kulikua na kijiji kimoja cha panya, kijiji kile kilikua na panya wengi na waliendelea kuongezeka siku hadi siku! ilitukia siku moja panya wakaanza kupotea, na wengine wakakutwa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nchi za kiarabu na mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisraeli ili kuokoa maisha ya wanachi,watumishi wa afya huko Gaza Kwa makosa ambayo HAMAS ilifanya kujenga mahandaki...
2 Reactions
4 Replies
855 Views
Mungu uliopo juu Mungu muumba wa vyote vinaonekana mpaka visivyo onekana. Wewe ni Mungu tusema Asante kwa kila Zawadi umetupa Taifa zuri Tanzania. Mungu wa Tanzania ni wanyonge na wachache umewapa...
2 Reactions
5 Replies
809 Views
📌📌 KISHINDO CHA MAKONDA KATORO NA BUSERESERE - GEITA Maelfu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere Wamejitokeza kwa Wingi Kumpokea Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wakati...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Charles Kitima, amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kufanya mageuzi makubwa kwa kutumia falsafa ya uongozi kwa kutumia 4Rs...
0 Reactions
4 Replies
944 Views
Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu wana jf ni siku za karibuni tuu wananchi wa Loliondo ngorongoro wameondolewa kwenye maeneo yao ya asili...na sasa zoezi hilo limeshaanza wilaya ya Longido ambapo vijiji zaidi ya 30 vya mlima...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom