Makonda amerudi akiwa ameiva vilivyo

Makonda amerudi akiwa ameiva vilivyo

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,263
Reaction score
12,197
1. Huyu bwana kwanza anaipenda siasa.
2. Anapenda kuongea
3. Hachoki kuongea
4. Hachoshi akiwa anaongea na wananchi.

Basi tu ila nchi yetu inahitaji viongozi kama hawa.

Tungeongezea na nguvu akina Sabaya na Happy ni dakika sifuri CCM inakwenda kunyoka.

Lakini tuondoe na janjajanja zisizo na msingi tuwatumikie wananchi.
 
Duh. Ati jamaa ni zero kama.punda wake shambani.

Punda wanafanya kazi ngumu kushinda na wenye akili.

Halafu mnamshambulia kwa kufanya kazi ngumu.

Makonda ana chapa kazi. Kazi tu!
 
1. Huyu bwana kwanza anaipenda siasa.
2. Anapenda kuongea
3. Hachoki kuongea
4. Hachoshi akiwa anaongea na wananchi.

Basi tu ila nchi yetu inahitaji viongozi kama hawa.

Tungeongezea na nguvu akina Sabaya na Happy ni dakika sifuri CCM inakwenda kunyoka.

Lakini tuondoe na janjajanja zisizo na msingi tuwatumikie wananchi.
Mimi nataka awe kama Magufuli, miradi mwanzo mwisho..., namna pekee ya kumfufua Magufuli ni kumpa Makonda Urais...., there is still hope for this country after all
 
Timu Msoga aliyoita Polepole ....ndiyo walitaka kumwangusha mama
 
Mimi nataka awe kama Magufuli, miradi mwanzo mwisho..., namna pekee ya kumfufua Magufuli ni kumpa Makonda Urais...., there is still hope for this country after all

..bashite hana haina ya Uraisi.

..hatuwezi kuongozwa na mwanaume mwenye makalio na maungo kama watoto wa kike.
 
Ameiva kwa lipi? Kuna lipi la maana kaongea Makonda zaidi ya siasa za kishamba,?
 
MGAO WA UMEME UMEISHA GHAFLA!! HAHAHA KWELI MAKONDA NI KIBOKO.
 
1. Huyu bwana kwanza anaipenda siasa.
2. Anapenda kuongea
3. Hachoki kuongea
4. Hachoshi akiwa anaongea na wananchi.

Basi tu ila nchi yetu inahitaji viongozi kama hawa.

Tungeongezea na nguvu akina Sabaya na Happy ni dakika sifuri CCM inakwenda kunyoka.

Lakini tuondoe na janjajanja zisizo na msingi tuwatumikie wananchi.

Mkuu hao wengine hapana watoe kabisa
 
Kama ya maza ako?

..Maza huwezi kumuangalia kama unavyoangalia wanawake wengine.

..kwa hiyo swali lako siwezi kukujibu.

..Bashite makalio makubwa vile kayatoa wapi? Uturuki au Mloganzila?
 
Back
Top Bottom