Eti mnapiga saluti kama askari wa majeshi yetu.
Acheni uduanzi wa kuvunja sheria za nchi.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa inazuia kuunda vikundi kama green guard.
Kama bado hujasema basi utasema, wanachato wanajengewa maktaba kubwa kabisa kama Ile ya makao makuu Dar es salaam. Serikali imeshaanza kumwaga mabilioni.
Hayo yamesemwa na mbunge wa Chato dk...
Kwa namna Komredi Makonda alivyopokelewa kwa bashasha Kanda ya Ziwa ni kana Kwamba Chadema na Chopa hawajakuwepo huko juzikati
Je, Chadema wataendelea na Operesheni +255 Katiba Mpya Okoa Bandari...
Magari ya umma. Yanatumika kumpokea kada wa CCM.
Hii sio fair kabisa.
Kodi tunalipa watanzania wote sio wanaCCM peke yao.
Sasa kwa nini kodi zetu zitumike kwenye shughuli za CCM?
LEO BUNGENI: MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TAIFA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 - Mchango wa Prof Muhongo
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameshauri yafuatayo:
*Mipango yetu...
Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na Mwanza ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini, aidha mikoa ya Dar es salaam, Kilimajaro, Arusha, Pwani na Manyara ndiyo mikoa mitano yenye...
Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly
At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist
20...
Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa...
Nadhani CHADEMA waanze kutuandalia Mgombea mwingine wa Rais kama ni Mbowe au nani ieleweke mapema.
Siyo rahisi Watanzania kumchagua mtu anayeishi nje ya nchi kwa muda mrefu.
Ni angalizo tu!
Kwa takribani wiki kadhaa tangu Makonda ateuliwe/ achaguliwe kuwa Katibu Mwenyezi Taifa, nimeona kuna kitu chema ndani yake kinakuja kuponya au kuleta unafuu wa makovu ya Watanzania yaliyotokana...
Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa...
ANANDIKA: MUUMINI WA UJAMAA -Juma George
Upinzani ni MZURI, Upinzani UNAJENGA, UPINZANI unatuweka IMARA. KUISHI bilaY UPINZANI katika maisha NI HATARI SANA, lakini kuwa na upinzani kama huu wa...
Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025.
Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais.
Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu.
Kina...
Na. M. M. Mwanakijiji
Hakuna sababu ya msingi ya kuzuia maandamano ya kisiasa Tanzania. Mikusanyiko ya mikutano ya kisiasa haiitaji kufanywa iwe migumu kiasi kwamba ionekane Serikali haina uwezo...
Na baada ya mwalimu Nyerere kuukataa Ushauri wa Mzee Edwin Mtei ndio tukaingia kwenye dimbwi la Umaskini
Afadhali sasa CCM ndio imeuchukua Ushauri ule wa mzee Mtei wa miaka 40 iliyopita na Nchi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi na kuvunja bodi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Balozi James Gilawa Bwana kuwa Balozi wa Jamhuri ya...
Ndugu Comrade Paul Christian Makonda karibu Kanda pendwa ya Ziwa ujionee ilani ya Chama inavyotekelezwa Kwa vitendo. 2024/2025 Ushindi ni lazima.
---
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Paul...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.