Kiuhalisia ziara za Makonda hazina positive impact kwa CCM zaidi ya kuonyesha mapungufu ya serikali ya rais Samia.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu.

Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata mtendaji wa kata tu anaweza kulitatua lakini eti mpaka Makonda amwinue mkuu wa wilaya!

Hii ni kudhihilisha wazi kuwa mama Samia na serikali yake wameshindwa kutatua kero za wananchi kama inavyotakiwq kwa kutumia viongozi wenye dhamana hizo.
 
mpaka 2025 kutakua hakuna hata nukta ya hoja ambayo itakua haijaguswa na huyo mjaaa.
na hatimae akili zitawakaa sawa watoa taarifa kwamba mbona ni kama hakuna ambacho bado hakijafanywa na serikali ?

Mambo yote yaliyo ahidiwa mijini na vijijini lazima yatekelezwa kwa uzito na kiwango stahiki, hakuna dogo mbele ya CCM
 
Hizo ziara zina positive impact nyingi tu. SSH hana uwezo na hapendi zile hulka za marehemu JPM za kuinua viongozi majukwaani na kuanza kuwafokea na kuwadhalilisha. Katika awamu yake kaamua kazi hiyo ifanywe na Makonda.

Hiyo ndio positive impact ya hizi ziara, kuonyesha kwamba ni serikali iliyo karibu na wananchi kwa kushughulikia kero zao moja kwa moja.

SSH ni mwanademokrasia lakini mpole na hapendi kujibizana majukwaani na wasaidizi wake. Kamwachia Makonda aifanye kazi hiyo ngumu.
 
Pumbavu kabisa, kwa hiyo unakiri kuwa rais Samia hawezi kukemea viongozi wazembe yupo yupo tu kama boya.
 
Pumbavu wewe usioweza kujadili kwa kujenga hoja bila ya kuleta matusi.

Kutukana na kukemea viongozi majukwaani ni kutafuta sifa za muda mfupi tu, zenye uhai wa pale pale jukwaani inapokuwepo hadhara ya washangiliaji. JPM aliziweza sana siasa hizi kwani ziliiweka awamu yake karibu na mioyo ya wanyonge.

SSH hazihitaji sana siasa za majukwaani, yeye ni mtekelezaji wa kivitendo wa yale yanayotakiwa kufanywa moja kwa moja na serikali anayoiongoza. Kila kiongozi ana kipaji chake na kwa namna moja au nyingine kinagusa maisha ya hao hao washangiliaji moja kwa moja.
 
Siasa za majukwaani. Pumbavu nini maana ya mkuu wa nchi? Mbona alizunguka Tanzania nzima majukwaani kuomba kura.? Pumbavu huna akili
 
Pumbavu wewe usiye na staha ya kukubali kukosolewa.

Pumbavu wewe usiyejua kwamba Samia ana mamlaka makubwa sana na yana madhara iwapo ataendekeza chuki na visasi kama alivyokuwa akifanya JPM miaka ile.

Kashusha mamlaka kidogo kwa Makonda ili ashughulike na viongozi wazembe ndani ya CCM na huko serikalini. JPM akiwa rais ni kama alikuwa akifurahia ukubwa wa cheo chake kwa kunyanyasa wengi asiowapenda bila ya sababu za msingi.

Akaonekana kuwa inferior kwa baadhi ya watendaji waliokuwa chini yake na kuanzisha siasa za chuki, roho mbaya na mateso hata kwa wasiohusika. Samia anapunguza mazingira ya uonevu na lawama yenye kumhusu moja kwa moja kwa kutoonea watu kwa makusudi kwa kisingizio cha kufuata sheria.
 
Siasa za majukwaani. Pumbavu nini maana ya mkuu wa nchi? Mbona alizunguka Tanzania nzima majukwaani kuomba kura.? Pumbavu huna akili
% nakuunga mkono! Hivi wanadhani wananchi wa sasa ni wale wa 1960's ?
Hawajui huko mitaani wanako hutubia kisanii eti kwa kuingia na farasi au baiskeli mkutanoni wamejaa vijana graduates na wa elimu ya kati wasio na ajira na wanategemea kusikia kiongozi akizungumzia hoja ambazo zitatoa njia ya ufumbuzi badala ya usanii wa kijinga?
Na sio vijana tu walio stuka bali hata mazee ya CCM nayo yanaona mbona jamaa anatufanya mafala?
20231111_094327.jpg
 
Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu.

Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata mtendaji wa kata tu anaweza kulitatua lakini eti mpaka Makonda amwinue mkuu wa wilaya!

Hii ni kudhihilisha wazi kuwa mama Samia na serikali yake wameshindwa kutatua kero za wananchi kama inavyotakiwq kwa kutumia viongozi wenye dhamana hizo.
Dhuluma zipo na zitaendelea kuwepo hiyo njia anayotumia Makonda ndio Mwendazake aliitumia.

Makonda amewashika pabaya
 
Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu.

Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata mtendaji wa kata tu anaweza kulitatua lakini eti mpaka Makonda amwinue mkuu wa wilaya!

Hii ni kudhihilisha wazi kuwa mama Samia na serikali yake wameshindwa kutatua kero za wananchi kama inavyotakiwq kwa kutumia viongozi wenye dhamana hizo.
Hiyo ndio kazi yake kufukua madudu ili viongoz waendane na ilani ya chama, tushukuru kumpata makonda, makonda ni mpango wa mungu, hakuna kiongozi kutoka kanda ya ziwa akawa mzembe, wote wamejaa uzalendo.
 
% nakuunga mkono! Hivi wanadhani wananchi wa sasa ni wale wa 1960's ?
Hawajui huko mitaani wanako hutubia kisanii eti kwa kuingia na farasi au baiskeli mkutanoni wamejaa vijana graduates na wa elimu ya kati wasio na ajira na wanategemea kusikia kiongozi akizungumzia hoja ambazo zitatoa njia ya ufumbuzi badala ya usanii wa kijinga?
Na sio vijana tu walio stuka bali hata mazee ya CCM nayo yanaona mbona jamaa anatufanya mafala?
View attachment 2811087
Duu. Mkuu nimeangalia picha za uliowazingira kwz kalamu nyekundu nikacheka. Kama sura za Kisukuma zilizokosa matumaini hivi.
 
Hiyo ndio kazi yake kufukua madudu ili viongoz waendane na ilani ya chama, tushukuru kumpata makonda, makonda ni mapango wa mungu, hakuna kiongozi kutoka kanda ya ziwa akawa mzembe, wote wamejaa uzalendo.
Naunga mkono hoja,kama wahusika Wameshindwa lazima wenye chama washike hatamu.

Ikiwa too much atakwambia Mwenyekiti awatimue Wale mizigo wote.Hata kina Nape waliowahi kuja na orodha wa Mawaziri mizigo chama kikawakataa.

Uenezi wa bila kutatua kero hapo unweneza nini?
 
Pumbavu wewe kenge acha kutumia mavi kufikiri. Kwa nini rais anateua mawaziri, wakuu wa mikoa na wa wilaya? Maafisa tarafa na watendaji wa kata na vijiji? Wakurugugenzi ?
 
Watendaji ndio changamoto. Uzuri watz tunajijua bila kupelekeana moto mambo hayaendi. Hata ingekuwa chadema au CUF.

Anachofanya makonda yawezekana hata Chadema wasingeweza. Kwa hiyo big up sana kwake.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Hizo ziara zina positive impact nyingi tu. SSH hana uwezo na hapendi zile hulka za marehemu JPM za kuinua viongozi majukwaani na kuanza kuwafokea na kuwadhalilisha. Katika awamu yake kaamua kazi hiyo ifanywe na Makonda.

Hiyo ndio positive impact ya hizi ziara, kuonyesha kwamba ni serikali iliyo karibu na wananchi kwa kushughulikia kero zao moja kwa moja.

SSH ni mwanademokrasia lakini mpole na hapendi kujibizana majukwaani na wasaidizi wake. Kamwachia Makonda aifanye kazi hiyo ngumu.
Wewe una akili sana mkuu
THIS IS THE POINT.
 
Back
Top Bottom