Baraza Kuu Maalum la Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, limetoa siku 30 kwa uongozi wa shirika hilo kuweka mkataba wa hali bora kwa Wafanyakazi ambao rasimu yake ilishakuwa tayari...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amewahakikishia kundi maalum la wawekezaji na watalii mahiri duniani zaidi ya 150 kutoka nchini Marekani na nchi nyingine duniani...
ENDELEENI KUFUNGA BARABARA MAANA TUMEPEWA JUKUMU LA KUWASIKILIZA NA KUISAIDIA SERIKALI - MWENEZI MAKONDA
"Kitu kimoja nimegundua hapa, hii staili yenu ya kufunga barabara mnapoona msafara wa...
Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amewatakia kheri wahitimu wa kidato cha nne wote nchini wanaoanza mitihani yao leo Jumatatu Novemba 13 na kutarajiwa kuimaliza...
Kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa Mbowe huko Kilimanjaro. Baada ya kikao viongozi hao wamepost picha na kuweka maneno yanayoashiria kuna jambo zito lililofanyika leo.
Je, kikao hiki kinahusu...
Mkurugenzi Ilemela amhakikishia Mwenezi Makonda ndani ya wiki mbili kukarabati eneo linalotuama maji katika stendi hiyo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
📌📌 WANANCHI WA ILEMELA WASIMAMISHA MSAFARA WA MWENEZI MAKONDA KUMPA PONGEZI ZA RAIS SAMIA NA KUSIKILIZA KERO ZA STENDI YA MABASI YA NYAMONGORO
Wananchi, Wafanya biashara na Wadau mbalimbali...
📌📌CCM YATOA MAAGIZO MATANO GEITA - MWENEZI MAKONDA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi kinatoa maagizo matano kwa...
Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya...
Siyo kwa ushabiki wala chuki, serikali yetu, kutokana na aina ya watu ambao inakuwa nao, hakuna chochote ambacho huwa inakifanya kikawa na ufanisi.
Ni serikali ambayo hata ingepewa nafasi ya...
NYUMBA zaidi ya 250 zimekumbwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku, nakusababisha Kaya mbalimbali kuamua kuhamisha vitu vyao maeneo mengine kuhofia usalama wao.
Awali akizungumza...
Inashangaza sana kuona Chama Cha Mapinduzi kinachojiita watetezi wa Wanyonge kinawakumbatia Wanachama wao wenye Vyeo na pesa Kwa kuwashulumu Maskini wasio na pesa na Vyeo tena wanakumbatiwa.
Ni...
Hadi wakina Msukuma na Mpina wanapata nafasi kila siku ya kuchangia kati ya wabunge 360 ni ukweli kwamba wapo wabunge wengi ambao kwao wao ubunge ni posho.
Vikao vya bunge vinaanza hadi...
📌📌 RAIS SAMIA NI DADA YETU, WATU WA KANDA YA ZIWA - MWENEZI MAKONDA
"Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ni dada wa kanda ya Ziwa. Tuna wajibu wa kumuombea, kumlinda na...
Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu.
Badala yake wanafunzi wa nje pekee...
Mbunge wa Jimbo la Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Saashisha Mafuwe amekishukuru Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt...
Kiukweli tangu nimeanza kufuatilia Bunge mbunge Dkt. Samizi sijaona mchango wake bungeni wa kusemea Jimbo lake. Mimi nachojiuliza pale Kibondo kila kitu kinaenda sawia miradi yote inatekelezwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan mjue kuwa hajamteua Mwenezi wa chama Paul Makonda kwa bahati mbaya, katika kazi yake ya Urais ameshasoma mchezo wa vijana wale...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP. Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki...
1. DC Gondwe amepataje credential za kuvaa sare za JWTZ?
2. Nani amempa DC Gondwe sare za JWTZ?
3. Sheria inasemaje kuhusu matumizi ya sare za JWTZ?
Kama kuna katazo hili la raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.