Kwa kasi hii Makonda aongezewe Bashiru, Kabudi, Lukuvi na Polepole

Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
1,074
1,608
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.

Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Chama na Dira ya Maendeleo ya Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia.

Kama mtanzania mzalendo na Mwanachama mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi, nashauri Makonda aongezewe Nguvu ili kutekeleza vyema wajibu wa Chama Kuisimamia Serikali.

Hapa turejeshe majembe yaliyopumzishwa yaani Dr. Bashiru Ali Kakulwa, Humphrey Polepole, Prof. Kabudi na Komredi Lukuvi.

Watajwa hapo juu, wanafahamika kwa utendendaji uliotukuka, uthubutu na ujasiri wa kizalendo kwa maslahi ya nchi.

Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri, Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama, Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.

Hapo nchi itaenda kwa kasi au nasema Uongo jamani?
 
Kuna umuhimu samia kutengenez nguvu yake mpya ili kupoza au kuzima kabisa hili genge lenye nia ya kumvuruga hapo mbele kwa lengo la wale wazee wachache wanaotaka kuweka watoto wao kwa kwafaida zao.
 
Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri,

Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama,

Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha

Mchengerwa awe Nishati na

Kabudi Katiba na Sheria.

Mpina Waziri Mkuu

alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.
 
Kwa mbinu hizi za midani kwa ccm kwenda na upepo na kujibadili hao CDM nao waangalie uwezekano wa kuwarudisha covid 19 wasishupaze shingo siasa ni ushindani na kusoma mchezo. Hata sauti ya watanzania wa intergrate nao strategically ili mradi kutafuta ushindi vinginevyo Makonda na timu yake atawabomoa mno hawatamweza huyo dogo wa kanda pendwa.
 
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.

Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Chama na Dira ya Maendeleo ya Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia.

Kama mtanzania mzalendo na Mwanachama mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi, nashauri Makonda aongezewe Nguvu ili kutekeleza vyema wajibu wa Chama Kuisimamia Serikali.

Hapa turejeshe majembe yaliyopumzishwa yaani Dr. Bashiru Ali Kakulwa, Humphrey Polepole, Prof. Kabudi na Komredi Lukuvi.

Watajwa hapo juu, wanafahamika kwa utendendaji uliotukuka, uthubutu na ujasiri wa kizalendo kwa maslahi ya nchi.

Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri, Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama, Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.

Hapo nchi itaenda kwa kasi au nasema Uongo jamani?
Kwani kuna nini kimetokea ndani ya CCM mpaka yafanyike hayo uyasemayo?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.

Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Chama na Dira ya Maendeleo ya Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia.

Kama mtanzania mzalendo na Mwanachama mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi, nashauri Makonda aongezewe Nguvu ili kutekeleza vyema wajibu wa Chama Kuisimamia Serikali.

Hapa turejeshe majembe yaliyopumzishwa yaani Dr. Bashiru Ali Kakulwa, Humphrey Polepole, Prof. Kabudi na Komredi Lukuvi.

Watajwa hapo juu, wanafahamika kwa utendendaji uliotukuka, uthubutu na ujasiri wa kizalendo kwa maslahi ya nchi.

Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri, Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama, Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.

Hapo nchi itaenda kwa kasi au nasema Uongo jamani?
Kasi ipi hiyo ya kutafuta cheap politics kwa kupigiapigia simu mawaziri hadharani bila adabu, u much know to unamsumbua huyo hana la maana ana asili ya kibri cha madaraka na kujiona yeue ndio yeye ule ule ujinga waagufuli yeye anaurudia
 
Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri,

Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama,

Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha

Mchengerwa awe Nishati na

Kabudi Katiba na Sheria.

Mpina Waziri Mkuu

alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.
Mkuu, kwa hoja hii naomba nikuchumbie tafadhali...😋
 
😄 🤣 eti warudi walewale, kweli au mnatania
Ardhi? Huyo aliesema zanzibar watarudi waarabu halafu watatusumbua unadhani ana nafasi tena
Hakuna kubinua midomo tena

Na K na sheria huyo huyo aliemuita binadamu mwenzie Mungu?
Na kunywa juice iliyoletwa na ndege eti ni dawa ya Corona
Haya mwingine nae akasema tutatumia Dola kushika dola nae eti apewe nafasi mmerogwa kweli

Kuna wajinga ila sio wote jamani
 
Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri,

Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama,

Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha

Mchengerwa awe Nishati na

Kabudi Katiba na Sheria.

Mpina Waziri Mkuu

alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.
Sabaya awe makamu wa rais
 
😄 🤣 eti warudi walewale, kweli au mnatania
Ardhi? Huyo aliesema zanzibar watarudi waarabu halafu watatusumbua unadhani ana nafasi tena
Hakuna kubinua midomo tena

Na K na sheria huyo huyo aliemuita binadamu mwenzie Mungu?
Na kunywa juice iliyoletwa na ndege eti ni dawa ya Corona
Haya mwingine nae akasema tutatumia Dola kushika dola nae eti apewe nafasi mmerogwa kweli

Kuna wajinga ila sio wote jamani
Asilimia kubwa ya watanzania wana akili za ki ng'ombe
Yaani hawana akili ya ufahamu bila kuona kuna mswagaji anawapeleka zizini na viboko ndio wanajiona wanaishi sahihi......
 
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.

Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Chama na Dira ya Maendeleo ya Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia.

Kama mtanzania mzalendo na Mwanachama mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi, nashauri Makonda aongezewe Nguvu ili kutekeleza vyema wajibu wa Chama Kuisimamia Serikali.

Hapa turejeshe majembe yaliyopumzishwa yaani Dr. Bashiru Ali Kakulwa, Humphrey Polepole, Prof. Kabudi na Komredi Lukuvi.

Watajwa hapo juu, wanafahamika kwa utendendaji uliotukuka, uthubutu na ujasiri wa kizalendo kwa maslahi ya nchi.

Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri, Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama, Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.

Hapo nchi itaenda kwa kasi au nasema Uongo jamani?
Hiyo Imani iliondoka lini na Nani aliiondoa?
Mbona hamkuwahi kutuambia kwamba Imani ya Wananchi Kwa CCM imeondoka Bali Kila siku mlikuwa mnatutangazia CCM inapendwa na Samia ni Kipenzi cha Watanzania?
 
Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa.

Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Chama na Dira ya Maendeleo ya Taifa, Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia.

Kama mtanzania mzalendo na Mwanachama mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi, nashauri Makonda aongezewe Nguvu ili kutekeleza vyema wajibu wa Chama Kuisimamia Serikali.

Hapa turejeshe majembe yaliyopumzishwa yaani Dr. Bashiru Ali Kakulwa, Humphrey Polepole, Prof. Kabudi na Komredi Lukuvi.

Watajwa hapo juu, wanafahamika kwa utendendaji uliotukuka, uthubutu na ujasiri wa kizalendo kwa maslahi ya nchi.

Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri, Bashiru awe Katibu Mkuu wa Chama, Polepole awe Mwenezi alaf Makonda aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.

Hapo nchi itaenda kwa kasi au nasema Uongo jamani?
Hao wengine ni takataka na liabilities kwanza hawampendi Samia.

Pili hao ni WA kuja sio Vijana wa ccm kama Makonda aliyekulia kwenye chama.
 
Back
Top Bottom