Watanzania tuwe makini na wanasiasa wanaotaka kutumia ukabila kupata kura

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,824
18,568
Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani.

Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa kisiasa kutoka kanda flani flani ili washinde uchaguzi ujao.

Hawa wanasiasa wanajua ni wapi watakimbilia endapo nchi itakuwa katika machafuko, tafadhali watanzania tuwakatae watu hawa mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
 
Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani.

Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa kisiasa kutoka kanda flani flani ili washinde uchaguzi ujao. Hawa wanasiasa wanajua ni wapi watakimbilia endapo nchi itakuwa katika machafuko, tafadhali watanzania tuwakatae watu hawa mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
hilo haliwezekani tena Tz, Mwl.Nyerere alifunga sill.
 
Nyerere hayupo tena na nchi imeshabadilika sana
I can assure you jambo hilo liko silled kabisa. Eti ukabila, udini, rangi au jinsia vitutenganishe?. Utalifanya apo ulipo na Jamii yako na litaishia apo apo njee ya hapo watakushangaa tu watu na wakusamehe bure
 
Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani.

Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa kisiasa kutoka kanda flani flani ili washinde uchaguzi ujao. Hawa wanasiasa wanajua ni wapi watakimbilia endapo nchi itakuwa katika machafuko, tafadhali watanzania tuwakatae watu hawa mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Kuna kitu unataka kusema, ila unajificha nyuma ya pazia fulani hivi. Hebu funguka ili nasi tuelewe tutachangiaje katika mada hii.
 
Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani.

Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa kisiasa kutoka kanda flani flani ili washinde uchaguzi ujao. Hawa wanasiasa wanajua ni wapi watakimbilia endapo nchi itakuwa katika machafuko, tafadhali watanzania tuwakatae watu hawa mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Chonde chonde Taifa libaki salama,Mwl Nyerere katika jambo hakulala usingizi hakuutaka ukabila kabisa, alitaka tubaki salama tuwe waTanzania basi.
 
Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani.

Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa kisiasa kutoka kanda flani flani ili washinde uchaguzi ujao. Hawa wanasiasa wanajua ni wapi watakimbilia endapo nchi itakuwa katika machafuko, tafadhali watanzania tuwakatae watu hawa mapema kabla mambo hayajawa mabaya.
Naona wachaga mmeamua kila mada zenu ni ukabila tu, kwani kumetokea nini naomba mnifaamishe.
 
Back
Top Bottom