Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 13, Kikao cha 7, leo Novemba 7, 2023.
https://www.youtube.com/live/1XyCg-1VaDw?si=ZauwTRbVZHBthDGw
NAIBU WAZIRI: CHANGAMOTO YA MTANDAO WA...
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CCM, Katibu mkuu kiongozi na sasa mbunge wa kuteuliwa Bashiru Ally aliwahi kunukuliwa akisema watatumia dola sana kubaki madarakani na akaendelea mbele kusema ni...
Mwanzilishi wenu Bwana Julius Nyerere alisema enzi zile tukiwa vijana kwamba "Mtu alikudanganya huku anajua kuwa unajuwa kuwa anakudanganya, basi anakudharau".
Sasa nyie hamjui kuwa Makonda aka...
Serikali imefanya jambo jema sana kuruhusu safari masaa 24, matumizi ya gari ndogo na Costa kupakia abiria usiku, matumizi ya magari ya magazeti na IT kutumika kubeba abiria yamepungua na sasa...
Paul makonda anaangaliwa kwa jicho la Tatu kama magufuli aliyechangamka ni kiongozi ambaye siyo mwoga katika utendaji na mtu wa kutoa maamuzi ya haraka ! Wazee kwa vijana nimepita mahala wakisema...
Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu.
Makonda katoa kauli zinazowakwaza na...
Mikataba ya hadhi ya IGA (Intergovernmental Agreement) au BIT (Bilateral International Treaties) au MIT (Multilateral international Treaties) ni lazima ziendane na sheria za nchi husika vinginevyo...
Tatizo viongozi wetu wana kichwa ngumu na sio rahisi kujifunza kutokana na maovu yaliyo pita.
Au ni kutudharau kuwa Watanzania hawa ni zumbukuku watatufanya nini sisi na chama chetu CCM?
KADCO...
LUHAGA MPINA ulichoma nyavu za wavuvi na kuwatia umasikini mkubwa huna uhalali wa kuwataja mawaziri kuhusika na ufisadi vinginevyo tuamini mna ugomvi binafsi.
Watu wa Kanda ya zIWA hana hamu na...
Saaalam wana JF,
Ndugu zangu, nimefuatilia maandamano nchini marekani ninejifunza jambo kubwa sana, mpaka nikajiuliza kwanini sisi Tanzania?
Kwanza nikamtathimini Trump, kwa amri ya kutumia...
📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda...
Heshima kwenu wana jamvi, kuna viongozi nimekuwa nawafuatilia sana since day one. Moja wapo ni makonda, bashe, majaliwa na wengine list ni ndefu.
Ila leo nimwongelee makonda tu.
Kiongozi huyu...
UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia na kusimamia Makabidhiano ya...
Post
Ofisi ya Waziri Mkuu
@TZWaziriMkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Maaskofu Emaus Mwamakulwa wa Kanisa la Uamsho la Morovian (Kushoto) Askofu wa KKKT Dayosisi ya...
Akizindua Ripoti ya utafiti ya athari za upatikanaji wa Nishati ya umeme ,Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dotto Biteko amesema Vijiji 11,079 sawa na 90% vimefikiwa na umeme na kwamba Vijiji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini...
Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
Niko hapa kuelimishwa
Kwanini Mkurugenzi wa Halmashauri ndio awe Msimamizi wa Uchaguzi?
Kwanini NEC isiwe na Watendaji wake maana Demokrasia ni gharama!
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda (@baba_kegan) amesema CCM imetoa maagizo matano kwa mkoa wa Geita ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.