Mama Mrejeshe Ally Hapi umalize kazi

Mama Mrejeshe Ally Hapi umalize kazi

Huyo kijana hapo atakufaa sana... combination yake na Makonda itakuwa ni moto wa kuotea mbali ... Kwanza kaonesha ukomavu sana, tangu apumzishwe anapiga zake shughuli za kilimo.
Sawa kabisa, Hapi hajawai kukosea zaidi ya kukosea kwa kutaja wastaafu.
Naamini ni kiongozi .zuri tu hapo mbele pamoja na ukulima wake.
 
Sawa kabisa, Hapi hajawai kukosea zaidi ya kukosea kwa kutaja wastaafu.
Naamini ni kiongozi .zuri tu hapo mbele pamoja na ukulima wake.
Kwa nini asiendelee na ukulima wake??
 
Sawa kabisa, Hapi hajawai kukosea zaidi ya kukosea kwa kutaja wastaafu.
Naamini ni kiongozi .zuri tu hapo mbele pamoja na ukulima wake.
Anasimamiwa na kiapo"fitna kwangu mwiko nitasema kweli daima" kwa hiyo hakuna alipokosea. Ukiona Hapi aliinuka akasema basi jua kuna watu walikuwa wanasemea chini kwa chini.

Nakumbuka wakati fulani Arusha Lowasa akiwa ndani ya ccm kuna waandishi walimfata Kinana ili waandike habari za kumlipua Lowasa..kwa kuwa Kinana ana mizizi Arusha na wao ni waandishi wa Arusha.

Basi Kinana akawapa baraka ila akawaambia wasimtaje. Kwa hiyo CCM kupigana fitna za chini kwa chini ni kawaida. Ila madogo wasiopenda fitna za chini chini ndio huwa wana shout..wapo wengi tu hata kina Mrisho Gambo.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Huyo kijana hapo atakufaa sana... combination yake na Makonda itakuwa ni moto wa kuotea mbali ... Kwanza kaonesha ukomavu sana, tangu apumzishwe anapiga zake shughuli za kilimo.
Majangili yote lazima yatarudishwa maana maza hajui hata anafanya nini
 
Ni suala la muda tu,hao bado wapo sana kwenye siasa za nchi hii na yule Big somebody "Kasesela".

Akina Mwampamba ndiyo tiamaji tiamaji kuinuka tena.
 
Sabaya awe naibu waziri Biteko abakie kwenye nishati tu
 
Kila siku tunahimizwa tukalime sasa huko aliko kuna shida gani, kuna mwingine ni local fundi hapo Geita
 
Huyo kijana hapo atakufaa sana... combination yake na Makonda itakuwa ni moto wa kuotea mbali. Kwanza kaonesha ukomavu sana, tangu apumzishwe anapiga zake shughuli za kilimo.
Of course yes ila Sasa hapo atamrejesha kwenye nafasi gani kwenye chama?
 
Back
Top Bottom