Marekani inanufaikaje na misaada inayoipatia nchi maskini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika!

Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba.

Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada.

Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji kusaidiwa? Kuna namna inanufaika na huo ukarimu?

Tanzania inaweza kuuiga Marekani kwa kuzisaidia nchi zililzo chini kiuchumi kuzidi Tanzania, kama Burundi?
 
Cha kwanza ujue na uelewe marekani hakuna huruma hao wasio na makazi wameshindwa kulipia vyumba au nyumba kwahyo hakuna zile za kukaa kwa shangazi, marekani ni mnyonyaji anapokupa msaada anamalengo yake anataka yatimie hata kama hatochota mali ila kuna kona fulani atakubana ili afaidike yeye
 
Kwa hiyo tunapokutana na vibao "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI" tunapaswa kuchukua tahadhari siyo!
 
Tena kubwa yaani kama unauwezo wa kupata huduma nyingine sehemu tofauti bora ukahudumiwe huko mambo ya hisani achana nayo maana kwao kuna wenye uhitaji ila wanatoa misaada nje ili tuendelee kubweteka kwao wanapambana wanatoka mitaani sisi tunapambana ili tuwe mtaani nadhani unaiona hatari iliyopo
 
😃😃😃
 
Wamarekani ni watu wenye akili nyingi.
Wamefanikisha pesa yao kuwa ndiyo exchange mean ya ulimwengu wote. Ukiweza kuipaisha pesa yako itumike popote duniani unaweza kuchapisha pesa utakavyo na usipate inflation. Hivyo Marekani anatoa pesa hewa ila inaweza kununua chochote duniani.
Marekani itaendelea kuwa juu mpaka pale nchi nyingine iweze kuipenyeza pesa yake itumike kila mahali duniani.
Kuna pesa zina thamani kubwa kuliko US Dollar lakini kuna mahali ili uzitumie lazima uzivunje katika dollar au pesa ya nchi husika
 
Marekani ni nchi tajiri, hiyo inafahamika!

Pamoja na hayo, bado kuna raia wake wasiokuwa na makazi wala chakula, ambao wanaishi kwa kuomba omba.

Lakini ndiyo nchi inayoongoza dunianai kwa kutoa misaada.

Nini sababu ya Marekani kuzisaidia nchi zingine wakati kuna raia wake wanaohitaji kusaidiwa? Kuna namna inanufaika na huo ukarimu?

Tanzania inaweza kuuiga Marekani kwa kuzisaidia nchi zililzo chini kiuchumi kuzidi Tanzania, kama Burundi?
Marekani inanufaika vizuri sana na misaada yake na lengo hasa la misaada hiyo ni kuwanufaisha wao kwanza na wala hakuna tatizo lolote katika hilo.
 
Hata mm najiuliza sana kuhusu hili jambo
 
Lengo kuu la marekani ni kuitawala dunia: kuwa na uamuzi wa mwisho kuhusu masuala ya kidunia kwa kuangalia interests zao, bila kujali mahitaji ya nchi nyingine.
Kwa hiyo wanapomwaga misaada duniani lengo la kujitengenezea kundi la nchi machawa ambao watasema 'ndiyo mzee' kwa kila kitakachosemwa na marekani. Huko kwao wanasema 'there's no free lunch in America', sisi huku ndio tunashangilia kupewa free lunch toka kwao!
 
Marekani inanufaika vizuri sana na misaada yake na lengo hasa la misaada hiyo ni kuwanufaisha wao kwanza na wala hakuna tatizo lolote katika hilo.
Fafanua kidogo mkuu, inanufaikaje? Huenda na sisi tukapata wazo la kufanya hivyo kwa nchi zingine.
 
Lakini mwisho wa siku tujiulize, hiyo misaada inasaidia jamii yetu au hazisaidii, maana Africa/Tanzania mpaka vyandarua tunawaomba.
 
Back
Top Bottom