Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,331
8,254
Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM.

Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri.

Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria.

Mpina Waziri Mkuu

Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.

GAME OVER.
 
Mala waziri wa habari kalemani mambo ya nje ally hepi
 
Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM.

Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri.

Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria.

Mpina Waziri Mkuu

Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.

GAME OVER.
Uchuro
 
Mama Samia azingatie hii.
 
Mara pap hakuna kitu kama hicho
 
Mpina kuwa Waziri mkuu haiwezekani Sasa, kesho na hata milele. Waziri Mkuu anatakiwa awe na kifua Cha kutunza Siri nzito ila Mpina hana kifua hicho.

Kwenye siasa za Tanzania, Bashiru ni game changer na anaweza kubadilisha upepo wa kisiasa muda wowote hivyo sio vema atumike Sasa. Akitumika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu au kipindi cha kubadilisha uongozi atafaa sana.

Badala ya kumrudisha Bashiru CCM naamini akiwa Katibu Mkuu Kiongozi au Waziri Mkuu atafaa sana, ni mkali sana kuliko Hayati Magufuli atarejesha nidhamu ya utumishi wa Umma.

Kwenye katiba na sheria nakubaliana na wewe juu ya Prof.Kabudi ,atasaidia kuwezesha mchakato wa katiba mpya kusonga mbele.

Polepole hapana kwenye TAMISEMI ,TAMISEMI ni fupa gumu hapo panamhitaji mtu kama Makonda au Dkt.Bashiru.
 
Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM.

Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri.

Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria.

Mpina Waziri Mkuu

Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.

GAME OVER.
Ndio Nini sasa?
 
Back
Top Bottom