Nadhani Chongolo na Kinana wanashangaa tu!

Vmatongo

Senior Member
Joined
Dec 8, 2021
Posts
158
Reaction score
240
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia.

Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo.

Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
 
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Msoga gang na chadema mnatapatapa sana legacy ya wazalendo itashinda tu
 
Jinsi wanavyomuangalia

IMG_20231111_115412.jpg
 
Naona siku za kifo cha CCM zinazidi kukaribia. Aliyemteua Bashite kuwa Katibu Mwenezi wa chama, nadhani amebariki kifo cha CCM bila shaka.

Maana mtifuano na mvurugano wa ndani ya chama kuelekea uchaguzi wa 2025, hautakuwa wa kitoto.
 
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
dogo kuna kitu au mtu anampa kiburi, hawezi kuwa na confidence za aina ile kama hakuna mweneymbwa.
 
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Anachofanya, kwa wana ccm, ni sahihi, kuiweka ccm ndani ya vinywa vya wananchi, ccm inachukiwa, wa piga debe wote ni wazee,hawana jipya kwa kizazi kipya! Walihitaji jitu lenye charisma ya kuongea kama makonda! Na ukitegemea Ni jambazi Ali kuwa Muuaji mkuu wa Jiwe kama alivyokuwa(Maliyungu kwa Idi Amin), watu bado wana kumbuka you na kihoro alichowapitisha wakati wa u tawala wa Giza wa Maghu
 
Back
Top Bottom