Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara, Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, asubuhi ya 23/11 /23, atakuwepo kwenye Clouds TV kwa mahojiano...
Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea...
Twende haraka kwenye mada,
Taarifa zilizotufikia Kutoka vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa Hali ni Tete mitaani,
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ameanzisha operation ya kuwasaka wote wasio na Leseni...
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023.
Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji...
Naomba kutoa Rai kwa Serikali kujiwekea utaratibu mzuri wa kuwadhibiti madereva. Hali ya sasa siyo nzuri sana mtaani na kwenye vijiwe. Yawezekana kweli uchumi siyo mzuri na maslahi ya madereva...
Zitto Kabwe amesema kuwa
''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu...
Nimekuona kwenye Runinga Mheshimiwa Naibu waziri Mkuu, Dotto Biteko ukimwagiza Maharage Chande kutohudhuria kikao Cha kimataifa kinachojadili masuala ya Nishati Ili aende akaungane na watendaji...
Serikali kupitia BoT, wamekuja na utaratibu mpya unaoelekeza mikopo ya Watumishi kutolewa online ambapo Mtumishi ataomba mkopo mtandaoni kuputia Watumishi Portal.
Hongereni sana kwa utaratibu huu...
Pesa nyingi tunazotumia kwenye mambo ya ajabu kama vile kuwalipia mashabiki viingilio au hata kununua mechi kwenye ligi nk tungezitumia kufanya maendeleo ya soka.
Wazungu wana maneno mawili...
CHAMA cha Mapinduzi ni chama makini chenye uwezo wa kubadilika kutokana na nyakati lakini kwa sasa wanachama wengi wanahoji ukimya wa kushindwa kuchukua hatua za kuwang'oa mawaziri hawa ili...
Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.
Ngoja tuone mwisho wa Makonda.
Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
======
MAKONDA AAGIZA BODABODA...
Watanzania wenzangu poleni na matokeo ya jana lakini pia tujipongeze hata kidogo kwa kuendelea kuipa nguvu timu yetu ya taifa.
Ifike sehemu tukubali kwamba kuna hatua flani tumepiga hasa kwenye...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo...
Ni Lazima tuwe Wazalendo na tuiheshimu Dunia kama ilivyotuheshimu
Mbunge Mbeya Mjini ni Dr Tulia Ackson Mwansasu PhD
Sugu aje Kawe tutampa kura, Hili ni jimbo la Chadema
Ahsanteni sana 😄
Kuna Madai kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa maagizo anayotoa kwa mamlaka za serikali yanapuuzwa na hayatekelezwi na hivyo kumuondolea sifa ya kuendelea kuwa Waziri Mkuu na nimesikia baadhi ya watu...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kama kuna mtu anataka kutapika kwa sababu kina mama wa vijijini wamepata mitungi ya gesi basi aende pembeni kutapika lakini hataacha wala kusimamisha...
Serikali imesema ina mikakati ya kuhakikisha kila nyumba inakuwa na mtungi wa gesi ya kupikia na kuandaa mifumo mbalimbali kupitia uvumbuzi wa kibiashara ikiwemo kutumia teknolojia ya kupima gesi...
Wakuu, wakati wa JK kulikuwa na uhuru mkubwa wa vyombo vya habari kwa maana ya redio, magazeti, TV na mitandao ya jamii.
Baada ya kuingia Msafiri hali ikawa mbaya. Vyombo vingi vikapigwa pin...
Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta.
Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua.
Tulio na...
Dhahabu ni pesa isiyoshuka thamani,tangu kuumbwa kwa dunia,dhahabu haijawahi tetereka katika soko la dunia,tukisubiri kugawana pesa baada ya hesabu wajanja watatangaza hasara,na kwa nini pesa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.