Maryam Malya
Senior Member
- Nov 29, 2021
- 115
- 258
Watanzania wenzangu poleni na matokeo ya jana lakini pia tujipongeze hata kidogo kwa kuendelea kuipa nguvu timu yetu ya taifa.
Ifike sehemu tukubali kwamba kuna hatua flani tumepiga hasa kwenye pitch tofauti na huko tulipotoka yaani kwa mechi ya jana pamoja na mapungufu yote yaliyoonekana.
Kuna kitu naomba niweke sawa hapa kwamba tusianze kunyoosheana vidole wakati timu iliyotufunga ilikuwa bora na Wala hatuna sababu ya kuanza kusingizia eti mpira umechanganywa na siasa.
Mnaosema sijui tumeanza kuchanganya siasa na mpira ni kutaka kukatisha tamaa baadhi ya watu ambao wamekuwa wakijitoa kwa Kila namna Ili soka letu lizidi kuvutia. Mfano GSM, Mo Dewji,Familia ya Bakhresa na wengine wengi wamekuwa wakitumia Kila njia Ili kukuza na kuendeleza mpira kwa ngazi ya vilabu lakini serikali nayo ikaona iongeze nguvu kwa kuongeza hamasa ya goli la mama,kukarabati viwanja lakini pia kurahisisha Watanzania wenzangu poleni na matokeo ya jana lakini pia tujipongeze hata kidogo kwa kuendelea kuipa nguvu timu yetu ya taifa.

Mnaosema sijui tumeanza kuchanganya siasa na mpira ni kutaka kukatisha tamaa baadhi ya watu ambao wamekuwa wakijitoa kwa Kila namna Ili soka letu lizidi kuvutia. Mfano GSM, Mo Dewji,Familia ya Bakhresa na wengine wengi wamekuwa wakitumia Kila njia Ili kukuza na kuendeleza mpira kwa ngazi ya vilabu lakini serikali nayo ikaona iongeze nguvu kwa kuongeza hamasa ya goli la mama,kukarabati viwanja lakini pia kurahisisha usafiri kwa kutoa ndege kwa vilabu na timu ya taifa, pia Yanga ilipewa bus la mashabiki na serikali wakati ule ipo inacheza na marumo kule Afrika kusini.
Mashabiki wanarudisha kwa wale wanaojjitoa kuwekeza kwenye mpira mfano mnaona ilivyo kwa Mo na GSM Kila siku wanaitwa vizuri na mashabiki ni kwasababu ya uwekezaji wao na ndivyo hivyo hata kwa serikali ya Mh Rais @samia_suluhu_hassan inavyoungwa mkono na mashabiki wa soka ni kwasababu ya mchango mkubwa unaotolewa na ushiriki wa Moja kwa moja na si kutumika kisiasa