Kama Dunia imewaheshimisha Wana Mbeya Mjini ikawapa Rais wa IPU Dr Tulia PhD, Sugu ni nani hadi apinge? Sugu aje Kawe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,009
Ni Lazima tuwe Wazalendo na tuiheshimu Dunia kama ilivyotuheshimu

Mbunge Mbeya Mjini ni Dr Tulia Ackson Mwansasu PhD

Sugu aje Kawe tutampa kura, Hili ni jimbo la Chadema

Ahsanteni sana 😄
 
Back
Top Bottom