Zitto Kabwe: Wakurugenzi wa halmashauri ni makada wa CCM, hawawezi kutenda haki

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Zitto Kabwe amesema kuwa

''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo tutalipigania kwenye kamati za Bunge kuwaondoa wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi"

kazibata.jpg
 
Jamaa kama kinyonga, wenzake wakisema hawashiriki uchaguzi mpaka Tume Huru na Katiba Mpya viwepo, wao ACT wanasema kususa sio suluhisho.

Ajabu anasema kususa sio suluhisho, huku akijua wakurugenzi wa uchaguzi wote ni CCM, kazi yake siku zote ni kuongea uongo unaofanana na ukweli, ili kuwadanganya wajinga.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Zitto Kabwe amesema kuwa

''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo tutalipigania kwenye kamati za Bunge kuwaondoa wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi"

Yeye sio kada pia?
 
Ni bora kuishi na mchawi kuliko kuishi na mnafiki kama Zitto ! Muulize Zitto Kabwe atashiriki uchaguzi ujao na tume hii hii na hawa wakurugenzi?
Yeye ameshasema atashiriki hata iweje. Anajua huko ccm aliyekuwa hamtaki ni Magufuli tu, hao wanaccm wenzake wengine Hana shida nao, kama wao wasivyo na shida na yeye. Ameshaahidiwa ubunge wake, hivyo Hana sababu ya kutoshiriki. Na hakuna kitu Zito anasikia raha kama wanaccm wakimpamba kuwa ana siasa za kistaarabu.
 
Zitto Kabwe amesema kuwa

''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo tutalipigania kwenye kamati za Bunge kuwaondoa wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi"

Kama anazani si sawa mwambie sisi tunazani ni sawa. Ni mwendo wa kuzani mpaka akiliiwakae
 
Wakurugenzi na watumishi wengine wa Uma, hawatakiwi kisheria kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na vyama vya siasa.
Kwa maneno mengine, ni kosa kisheria kwa watumishi wa uma kuwa makada wa vyama.
Hata hivyo, utaratibu wa kuteua makada walioonesha nia au kishiriki uchaguzi wakashindwa waweza kuwa makosa ya kimaadili na kikatiba katika nchi ya mfumo wa demokrasia ya vyama vingi.
 
HAYA MABADILIKO YA SHERIA WOTE NO MAKADA WA CCM
Ndg yangu zito unapoteza muda wako hakuna pa kuponea ,Jaji mkuu Tanzania bara ni mteule wa Raisi lazima ateue Kada, Jaji mkuu Zanzibar nimteule wa Rais ni Kada pia changanya jina jina Moja atakaloteua Raisi lazima ateue Kada mtaponea wapi???
 
Back
Top Bottom