Hongera BoT kwa utaratibu wa watumishi kukopa benki kwa njia ya mtandao, japokuwa mikopo umiza mitaani bado imewashinda

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,028
144,382
Serikali kupitia BoT, wamekuja na utaratibu mpya unaoelekeza mikopo ya Watumishi kutolewa online ambapo Mtumishi ataomba mkopo mtandaoni kuputia Watumishi Portal.

Hongereni sana kwa utaratibu huu unaondoa kero ya wafanyakazi kukaa foleni benki kusubiri kuonana na Afisa Mikopo wa Benki na usumbufu mwingine kama kutembea na makaratsi kwenye bahasha, gharama za kutoa copy na ku-print documents husika.

Hata hivyo, BoT mmeshindwa kabisa kusimamoa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake za huku mitaani.

Mitaani biashara hii inafanyika kiholela kwa watu wasio na leseni huku wakitoza riba kubwa mpaka kufikia riba ya asilimia 40 kwa mwezi.

Taasisi za kifedha kukaa na kadi za benki za Watumishi huku na wao wakitoza riba kubwa kinyume Kabisa na sheria.

Taasisi hizi nyingi hazitumii utaratibu wa Reducing katika kutoza riba na baadhi hazitoa hata mkataba kwa wateja wao.

Kwa kifupi, mapungufu ni mengi na wahusika hawana hofu kwassbabu usimamizi wa sheria ni hafifu kwa kiasi kikubwa na hivyo wana-assume sheria haipo kwassbabu imekosa usimamizi.

Ni wakati sasa wa BoT na serikali kwa ujumla kuamka kutoka usingizini na kuchukua hatua kama vile kufanya ukaguzi wa kushitukiza katika Taasisi za kifedha, kuweka mitego kuwabaini wanaokopesha kwa riba pasikokuwa na vibali, n.k.

Mmetunga na kuandaa hii sheria kwa gharama kubwa tu mkiwa na malengo mazuri, sasa kwani mnaacha sheria inapuuzwa?

Mikopo uumiza na inayofanywa kinyume na sheria, ina madhara mengi na makubwa kwa jamii na Taifa kwa ujuma kama vile:

1. Serikali kukosa mapato
2. Kurudisha nyuma maendeleo ys watu na jamii kwa ujumla
3 Watu, hasa kina Mama, kukimbia makazi yao
4.Kuvuruga mahusiano ya kifamilia pale mwanandoa anaposhindwa kurejesha hii mikopo na kutakiwa kufilisiwa.
5. Inaleta/ inachangia umasikini wa kipato katika familia.
6. Ni chanzo cha msongo wa mawazo na hivyo kuathiri afya za wakopaji
7. Mikopo hii inapingana na sera ya serikali ya kupambana na umasikini.
8. Inaweza kuwa chanzo cha usaliti kwa wanandoa pale mtu amaposhindwa kulipa madeni yake
9. Kupunguza ama kuondoa kabisa heshima na utu wa mtu katika jamii.
10.Watu kuonekana wazee kuliko umria wao halisi kutokana na stress za mikopo.
11. Mikopo kushindwa kulipika na madeni kuwa makubwa zaidi na hivyo kuwa mzigo kwa wakopaji.

Serikali amkeni.
 
Tatizo la mikopo kwa watumishi ni riba kubwa zinazotozwa na mabenki na riba hizo zimechangiwa na serikali kutaka kupata gawio kubwa linalotokana na faida inayopatikana kwa mwaka.Hali hiyo imepelekea serikali kuwa na kigugumizi hasa katika kuzithibiti bank zisitoze riba kubwa kwa wakopaji ambao asilimia kubwa ni hawa manesi maveo na walimu wetu.

Lakini serikali inaweza kwa kutumia hazina kuwakopesha mabenki hela kwa riba nafuu na kuwaguide wakopeshe nao kwa riba nafuu.Kama hilo ni gumu serikali ichukue dhima ya kukopesha watumishi wake wa kada za chini kwa mikopo kutoka hazina ili kuwanusuru hao watumishi ambao wamepauka kwa sababu ya mikopo umiza
 
Tatizo la mikopo kwa watumishi ni riba kubwa zinazotozwa na mabenki na riba hizo zimechangiwa na serikali kutaka kupata gawio kubwa linalotokana na faida inayopatikana kwa mwaka.Hali hiyo imepelekea serikali kuwa na kigugumizi hasa katika kuzithibiti bank zisitoze riba kubwa kwa wakopaji ambao asilimia kubwa ni hawa manesi maveo na walimu wetu.Lakini serikali inaweza kwa kutumia hazina kuwakopesha mabenki hela kwa riba nafuu na kuwaguide wakopeshe nao kwa riba nafuu.Kama hilo ni gumu serikali ichukue dhima ya kukopesha watumishi wake wa kada za chini kwa mikopo kutoka hazina ili kuwanusuru hao watumishi ambao wamepauka kwa sababu ya mikopo umiza

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Haya yote yanawezekana lakini sio kwa serikali hizi za CCM ambazo zinakosa kabisa ubunifu kusaidia watumishi
 
Serikali kupitia BoT, wamekuja na utaratibu mpya unaoelekeza mikopo ya Watumishi kutolewa online ambapo Mtumishi ataomba mkopo mtandaoni kuputia Watumishi Portal.

Hongereni sana kwa utaratibu huu unaondoa kero ya wafanyakazi kukaa foleni benki kusubiri kuonana na Afisa Mikopo wa Benki na usumbufu mwingine kama kutembea na makaratsi kwenye bahasha, gharama za kutoa copy na ku-print documents husika.

Hata hivyo, BoT mmeshindwa kabisa kusimamoa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake za huku mitaani.

Mitaani biashara hii inafanyika kiholela kwa watu wasio na leseni huku wakitoza riba kubwa mpaka kufikia riba ya asilimia 40 kwa mwezi.

Taasisi za kifedha kukaa na kadi za benki za Watumishi huku na wao wakitoza riba kubwa kinyume Kabisa na sheria.

Taasisi hizi nyingi hazitumii utaratibu wa Reducing katika kutoza riba na baadhi hazitoa hata mkataba kwa wateja wao.

Kwa kifupi, mapungufu ni mengi na wahusika hawana hofu kwassbabu usimamizi wa sheria ni hafifu kwa kiasi kikubwa na hivyo wana-assume sheria haipo kwassbabu imekosa usimamizi.

Ni wakati sasa wa BoT na serikali kwa ujumla kuamka kutoka usingizini na kuchukua hatua kama vile kufanya ukaguzi wa kushitukiza katika Taasisi za kifedha, kuweka mitego kuwabaini wanaokopesha kwa riba pasikokuwa na vibali, n.k.

Mmetunga na kuandaa hii sheria kwa gharama kubwa tu mkiwa na malengo mazuri, sasa kwani mnaacha sheria inapuuzwa?

Mikopo uumiza na inayofanywa kinyume na sheria, ina madhara mengi na makubwa kwa jamii na Taifa kwa ujuma kama vile:

1. Serikali kukosa mapato
2. Kurudisha nyuma maendeleo ys watu na jamii kwa ujumla
3 Watu, hasa kina Mama, kukimbia makazi yao
4.Kuvuruga mahusiano ya kifamilia pale mwanandoa anaposhindwa kurejesha hii mikopo na kutakiwa kufilisiwa.
5. Inaleta/ inachangia umasikini wa kipato katika familia.
6. Ni chanzo cha msongo wa mawazo na hivyo kuathiri afya za wakopaji
7. Mikopo hii inapingana na sera ya serikali ya kupambana na umasikini.
8. Inaweza kuwa chanzo cha usaliti kwa wanandoa pale mtu amaposhindwa kulipa madeni yake
9. Kupunguza ama kuondoa kabisa heshima na utu wa mtu katika jamii.
10.Watu kuonekana wazee kuliko umria wao halisi kutokana na stress za mikopo.
11. Mikopo kushindwa kulipika na madeni kuwa makubwa zaidi na hivyo kuwa mzigo kwa wakopaji.

Serikali amkeni.
Umelazimishwa kukopa mtaani?
 
Ujipeleke mwenyewe mikopo umiza harafu uje kulaumu BoT si ndio? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom