Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais...
Katika vitabu vyetu vya historia, tumeaminishwa kati ya watawala wajinga na wa kutolea mfano ni Sultan Mangungu.
Nilifuatilia kidogo kuona alichosaini kwenye mkataba hadi akalaamiwa hivyo...
Askofu Gamanywa amesema Jumapili hii kutakuwa na Ibada ya kitaifa ya kuliombea taifa la Israel
Askofu Prof Gamanywa amesema atakuwepo muhubiri kutoka Israel na Sadaka itakayokusanywa itapelekwa...
Ni zaidi ya Mwaka tangu Mikutano ya Siasa iruhusiwe lakini imefanyika Mikutano kiduchu.
Hata CCM Mikutano yao inabebwa na Watu wa serikali Ndio Unasikia kule Chato Bavicha wakalalamika msafara wa...
https://www.instagram.com/p/Cz-gFkVI_l_/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Naunga mkono harakati za Waziri Bashungwa.
Wizara ya Ujenzi na TANROADS kwa miaka mingi wamekuwa miungu watu wasioguswa na...
Hawatakaa kama wenyeji bali watavuna wapeleke wako sisi tuwepo tu kama nyani.
===========
Baada ya miaka michache chini ya utawala huu wa CCM, Nchi yetu itakua chini ya Wachina na Waarabu...
Kiongozi ukiitisha maandamano halafu siku ya tukio ukakamatwa unakuwa umeeleweka na Ujumbe umefika
Ila Sema wanasiasa wa vyama vya Upinzani hawako serious kabisa
Mlale Unono 😀😀
Moja ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa demokrasia nchinina kitendo cha Tume kutumia watumishi wa umma katika michakato ya kiuchaguzi.
Kwa mujibu wa kifungu cha 21 cha Mswada, Tume...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk Tulia Ackson, leo tarehe 22 Novemba, 2023 amewasili Geneva, Uswisi kuanza utekelezaji wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Uwepo wa CCM madarakani kwa miaka mingi ni matunda ya nidhamu na umoja uliotamalaki ndani ya CCM na miongoni mwa wanachama wake. Nidhamu ya kuheshimu maamuzi halali ya...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili...
Aahidi UVCCM itaendelea kuwashika mkono vijana
Na MWANDISHI WETU
MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Rehema Sombi, amesema umoja huo utaendelea kuwaunga mkono...
Wadau nawasabahi.Binafsi sioni sababu ya kufanya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025. Sababu zangu ni pamoja na
1. KATIBA iliyopo inaruhusu CCM kuingia Madarakani itakavyo...
Kama hekta moja ni 16mil na points kadhaa hivi ,budget hiyo iko sahihi na wamejitahidi Sana kuibana . Mfano tu; kwa kilimo cha kitaalam cha green house ,green house ya robo ekari yaani ukubwa wa...
Nikiri kuwa Dumila ni mji mdogo unaopatikana wilaya ya Kilosa ambao kwa miaka ya hiv kalibuni umekuwa kwa kasi sana, ukichagizwa na uwepo wa kiwanda cha sukari umbali wa kama kama 30 hivi cha...
Ukijiita Chawa utabaki Kuwa kama mdudu maisha Yako yote
Ukiitwa Chawa ukaitika itaendelea Kuwa Chawa maisha Yako yote
Lakini ukiitwa Rafiki utabeba Baraka za Urafiki kwani Yesu Kwetu ni Rafiki...
Inabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta...
Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia...
Wote tunafahamu kwamba Vijijini ndiko kunafanyika shughuli za Kilimo na hivyo msimu wa mazao Barabara za huko Huwa busy sana.
Sasa Tarura eti wanajenga km 19.25 za lami Kwa Bilioni 9.86 sawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.