Kama Mpira umetushinda, tunawezaje kuleta mapinduzi makubwa kiuchumi na kisiasa?Jibu ni hatuwezi

Tao

Member
Nov 10, 2018
95
157
Pesa nyingi tunazotumia kwenye mambo ya ajabu kama vile kuwalipia mashabiki viingilio au hata kununua mechi kwenye ligi nk tungezitumia kufanya maendeleo ya soka.

Wazungu wana maneno mawili kwenye soka
  • Class
  • Form
Class is permanent, form is temporary
Hadhi ya Morocco ni kubwa sana ukilinganisha na sisi kwani wao wako serious na soka lao na ndiyo maana vilabu vyao na hata timu yao ya Taifa ni balaa tupu.

Mbona sisi hatuna malengo na soka letu?

Hivi tuna sera ya Michezo?

Hivi tunazo soccer academies?

Umiseta na umitashumita iko wapi?si tulizitumia kukuza vipaji?

Hivi kwenye shule zetu tuna walimu wa michezo?kama hawapo tunasemaje kuwa tunaprofessional football?

Hivi tuna viwanja bora vya michezo? Viko wapi?

Hivi kuna mahali popote kuna mkakati wa kupeleka vipaji vyetu huko barani Ulaya?

Hivi unachezaje na Morocco ambayo ina wachezaji tele kwenye vilabu muhimu vya ulaya?

Hivi kuna Mtanzania anacheza kikosi cha kwanza Galatasaray, Man U, PSG, Napoli, Sevilla nk?

Kwahiyo tumeridhika kuwa timu yetu ya taifa iundwe na wachezaji wa Simba na Yanga?nani anawadanganya kuwa hivi ni vilabu vya maana?

Hivi tumeshajengeka kiutamaduni ili tuanze kupiga hatua za maendeleo hata kwenye soka?stars inacheza but watu bado wamegawanyika kwenye vyama vya Simba na Yanga?

Utamaduni una maana kubwa katika maendeleo ya aina yoyote.

No culture,no development

Watanzania wapatao milioni 60 tumekubali tuwe kichwa cha mwendawazimu.period.

Tunatumia muda mwingi na nguvu kubwa kufanya yale yasiyo na umuhimu, tumekosa ajenda ya taifa.

Katika soka la leo unatakiwa uende uwanjani kupambana na ikitokea makosa ya referee usitumie kuficha weaknesses zako.

Soka linasimamiwa na binadamu na siyo malaika na ndio maana hata VAR haijafanikiwa kuondoa errors.

Juzi niliangalia game kati ya Ukraine na Italy kufuzu Euro 2024.

Ukraine walihitaji ushindi ili afuzu ila Italy walihitaji pointi moja tu.kwahiyo kwakuwa Wachezaji muhimu wa Italy walikuwa wanaonekana kuchoka wao walicheza kutafuta draw.hasa kipindi cha 2.

Dk ya 92 Mshambuliaji wa Ukraine alionekana kukwatuliwa na kiungo wa Italy na hivyo waukraine walimzonga referee ili awape penalt lakini hawakupewa.

Mchezo uliisha na wao kwasasa wanajiandaa kucheza play off kutafuta kufuzu.hayo ya penalt si agenda.

Kama taifa hatujafanya jambo lolote la msingi ili kukuza soka letu na ndio maana vipaji vimekauka.

Ebu watafute akina Idd Pazzi,Mohamed Mwameja,Niko Bambaga,George Masatu, Hussein Masha, Mwamba Kizota,Edward Chumila,Zamoyoni Mogela,Malota Soma, Lunyamila nk kama utawapata.Hawapo
 
Wewe ni mtu wa negative thinking tu !
Katika Soka tumepiga hatua kubwa sana , acha kukariri mambo!
Umisseta na Umitashumita hizo old and outdated thinking!
Wewe anzisha Soka Academy yako then target kuuza wachezaji kwa vilabu maana demand hiyo ipo.
Taifa Stars kufungwa na Morrocco siyo kigezo cha Tanzania kutokuwa na maendekeo katika Soka!
Soka ni mchezo wa matokeo 3 , kufunga, sare na kufungwa!
Mbona sisi tuliwafunga Niger?
Taifa Stars imefuzu AFCON, hayo si mafanikio?!
Acheni Negativity bwana and give credit where it is due.
Hongereni Taifa Stars na tuko pamoja nanyi!
 
Pesa nyingi tunazotumia kwenye mambo ya ajabu kama vile kuwalipia mashabiki viingilio au hata kununua mechi kwenye ligi nk tungezitumia kufanya maendeleo ya soka.

Wazungu wana maneno mawili kwenye soka
  • Class
  • Form
Class is permanent, form is temporary
Hadhi ya Morocco ni kubwa sana ukilinganisha na sisi kwani wao wako serious na soka lao na ndiyo maana vilabu vyao na hata timu yao ya Taifa ni balaa tupu.

Mbona sisi hatuna malengo na soka letu?

Hivi tuna sera ya Michezo?

Hivi tunazo soccer academies?

Umiseta na umitashumita iko wapi?si tulizitumia kukuza vipaji?

Hivi kwenye shule zetu tuna walimu wa michezo?kama hawapo tunasemaje kuwa tunaprofessional football?

Hivi tuna viwanja bora vya michezo? Viko wapi?

Hivi kuna mahali popote kuna mkakati wa kupeleka vipaji vyetu huko barani Ulaya?

Hivi unachezaje na Morocco ambayo ina wachezaji tele kwenye vilabu muhimu vya ulaya?

Hivi kuna Mtanzania anacheza kikosi cha kwanza Galatasaray, Man U, PSG, Napoli, Sevilla nk?

Kwahiyo tumeridhika kuwa timu yetu ya taifa iundwe na wachezaji wa Simba na Yanga?nani anawadanganya kuwa hivi ni vilabu vya maana?

Hivi tumeshajengeka kiutamaduni ili tuanze kupiga hatua za maendeleo hata kwenye soka?stars inacheza but watu bado wamegawanyika kwenye vyama vya Simba na Yanga?

Utamaduni una maana kubwa katika maendeleo ya aina yoyote.

No culture,no development

Watanzania wapatao milioni 60 tumekubali tuwe kichwa cha mwendawazimu.period.

Tunatumia muda mwingi na nguvu kubwa kufanya yale yasiyo na umuhimu, tumekosa ajenda ya taifa.

Katika soka la leo unatakiwa uende uwanjani kupambana na ikitokea makosa ya referee usitumie kuficha weaknesses zako.

Soka linasimamiwa na binadamu na siyo malaika na ndio maana hata VAR haijafanikiwa kuondoa errors.

Juzi niliangalia game kati ya Ukraine na Italy kufuzu Euro 2024.

Ukraine walihitaji ushindi ili afuzu ila Italy walihitaji pointi moja tu.kwahiyo kwakuwa Wachezaji muhimu wa Italy walikuwa wanaonekana kuchoka wao walicheza kutafuta draw.hasa kipindi cha 2.

Dk ya 92 Mshambuliaji wa Ukraine alionekana kukwatuliwa na kiungo wa Italy na hivyo waukraine walimzonga referee ili awape penalt lakini hawakupewa.

Mchezo uliisha na wao kwasasa wanajiandaa kucheza play off kutafuta kufuzu.hayo ya penalt si agenda.

Kama taifa hatujafanya jambo lolote la msingi ili kukuza soka letu na ndio maana vipaji vimekauka.

Ebu watafute akina Idd Pazzi,Mohamed Mwameja,Niko Bambaga,George Masatu, Hussein Masha, Mwamba Kizota,Edward Chumila,Zamoyoni Mogela,Malota Soma, Lunyamila nk kama utawapata.Hawapo
TATIZO LA NCHI NI INA IDADI KUBWA YA watu WAJINGA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, yaani mtu anatoka mapovu Kwa opinion hana data, exposure Wala knowledge, yaani anaita a field institituonalize national program kuwa ni old school and outdated to be replaced by individual private owned activities that are primarily for profit making? Yaani ni shida sana
 
Pesa nyingi tunazotumia kwenye mambo ya ajabu kama vile kuwalipia mashabiki viingilio au hata kununua mechi kwenye ligi nk tungezitumia kufanya maendeleo ya soka.

Wazungu wana maneno mawili kwenye soka
  • Class
  • Form
Class is permanent, form is temporary
Hadhi ya Morocco ni kubwa sana ukilinganisha na sisi kwani wao wako serious na soka lao na ndiyo maana vilabu vyao na hata timu yao ya Taifa ni balaa tupu.

Mbona sisi hatuna malengo na soka letu?

Hivi tuna sera ya Michezo?

Hivi tunazo soccer academies?

Umiseta na umitashumita iko wapi?si tulizitumia kukuza vipaji?

Hivi kwenye shule zetu tuna walimu wa michezo?kama hawapo tunasemaje kuwa tunaprofessional football?

Hivi tuna viwanja bora vya michezo? Viko wapi?

Hivi kuna mahali popote kuna mkakati wa kupeleka vipaji vyetu huko barani Ulaya?

Hivi unachezaje na Morocco ambayo ina wachezaji tele kwenye vilabu muhimu vya ulaya?

Hivi kuna Mtanzania anacheza kikosi cha kwanza Galatasaray, Man U, PSG, Napoli, Sevilla nk?

Kwahiyo tumeridhika kuwa timu yetu ya taifa iundwe na wachezaji wa Simba na Yanga?nani anawadanganya kuwa hivi ni vilabu vya maana?

Hivi tumeshajengeka kiutamaduni ili tuanze kupiga hatua za maendeleo hata kwenye soka?stars inacheza but watu bado wamegawanyika kwenye vyama vya Simba na Yanga?

Utamaduni una maana kubwa katika maendeleo ya aina yoyote.

No culture,no development

Watanzania wapatao milioni 60 tumekubali tuwe kichwa cha mwendawazimu.period.

Tunatumia muda mwingi na nguvu kubwa kufanya yale yasiyo na umuhimu, tumekosa ajenda ya taifa.

Katika soka la leo unatakiwa uende uwanjani kupambana na ikitokea makosa ya referee usitumie kuficha weaknesses zako.

Soka linasimamiwa na binadamu na siyo malaika na ndio maana hata VAR haijafanikiwa kuondoa errors.

Juzi niliangalia game kati ya Ukraine na Italy kufuzu Euro 2024.

Ukraine walihitaji ushindi ili afuzu ila Italy walihitaji pointi moja tu.kwahiyo kwakuwa Wachezaji muhimu wa Italy walikuwa wanaonekana kuchoka wao walicheza kutafuta draw.hasa kipindi cha 2.

Dk ya 92 Mshambuliaji wa Ukraine alionekana kukwatuliwa na kiungo wa Italy na hivyo waukraine walimzonga referee ili awape penalt lakini hawakupewa.

Mchezo uliisha na wao kwasasa wanajiandaa kucheza play off kutafuta kufuzu.hayo ya penalt si agenda.

Kama taifa hatujafanya jambo lolote la msingi ili kukuza soka letu na ndio maana vipaji vimekauka.

Ebu watafute akina Idd Pazzi,Mohamed Mwameja,Niko Bambaga,George Masatu, Hussein Masha, Mwamba Kizota,Edward Chumila,Zamoyoni Mogela,Malota Soma, Lunyamila nk kama utawapata.Hawapo
Morocco ni ulaya ni pua na mdomo kumbuka hilo kwanza.

Kuna tatizo la elimu yetu kuwa ndogo hapa Tanzania. Uelewa wa masuala ya kawaida kabisa ambayo kwa mataifa mengine hausumbu hapa kwetu ni taabu tupu kwa sababu wajinga wapo wengi.

Morocco mawakala wa Ulaya ni wengi sana, kwa kijana wa kimorocco kupata timu Belgium au Italy ni suala la kawaida, kwa kijana wa kitanzania kuweza kupata timu huko huko alipo kijana wa kimorocco ni mtihani.

Tunaweza sana malalamiko na kutoa kasoro lakin elimu yetu jinsi tunavyoichezea miaka na miaka hatuwezi hata kuona kuwa hilo ni tatizo.

Morocco, Tunisia, Misri na Algeria kule ni Ulaya ndogo linapokuja suala la kuendeleza vipaji. Morocco huwezi kuilinganisha na Tanzania kimpira, walicheza na Brazil baada ya kombe la dunia kumalizika kule Qatar na wakashinda 2-1, wapo juu sana kutuzidi.
 
Back
Top Bottom