Chama cha Mawakili (TLS) chatoa TAMKO KALI kuhusu kitendo cha Mwenyekiti (Jaji Ntemi) wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumsimamisha uwakili kwa miezi 6 Wakili Mkongwe Mpale Mpoki.
Kwamba...
Kuna wale waliofika bungeni kwa mbeleko ya Shujaa Magufuli
Kuna wale waliojipitisha bila kupingwa
Kuna hawa Covid-19
Kuna wale waliounga Juhudi kwa mikataba maalumu
Wote hawa " The End" ni...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeuhakikishia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mazingira salama ya biashara na uwekezaji nchini.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Inashangaza sana kuona CCM imeshindwa kabisa kuwapatia Watanzania KATIBA MPYA. CCM ya Kikwete ilianzisha Mchakato kwa kaunda Tume ya Warioba Tume iliyozunguka Nchi nzima kukusanya Maoni na...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika...
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita ameshiriki hafla ya utiaji saini Mkataba wa Mwekezaji mpya wa Kampuni ya Untamed Horizons kutoka Lake Group na WMA Makame ambapo...
African Peer Review Mechanism (APRM Tanzania) imetiliana saini Hati ya Makubaliano na Dr salim Ahmed salim Center for Foreign Relations, mashirikiano hayo yanalenga kukuza uhusiano uliopo na...
Mtaa wa Lindi leo.
Tutapiga kelele hadi serikali msikilize uozo uliokuwa wa Jiji la DSM.
Jiji ilitoa tenda kwa wachina miaka minne tu iliyopita.
Kwa kawaida ujenzi wa barabara, barabara...
Waananchi wa Visegese, Kisarawe wamtaka katibu Mwenezi wa CCM Makonda aende kutatua mgogoro ulioko kati Yao na Halmashauri ya Kisarawe
Mgogoro huo unatokana na makubaliano waliyokubaliana na...
Serikali imewataka wafungwa watakaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani kutumia ujuzi waliopata kujitengenezea kipato ili kuepuka kujiingiza tena katika uhalifu.
Maagizo hayo yametolewa Novemba...
Kumekuwa na malalamiko kwa baadhi ya wanafunzi kutopata chakula/milo sahihi kwa baadhi ya shule.
Mfano wali mara ngapi, ugali, nyama mara ngapi kwa wiki? Hili liwe wazi Ili baadhi ya wakuu wa...
Niwe wazi na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Serikali imeshindwa kujenga Kwa kiwango cha kimataifa barabara kutoka Tengeru kwenda Moshi mjini?
Sasa imeanza kuziba viraka barabara yote hiyo tena...
UJENZI WA MAABARA TATU ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI YA MTIRO UNAENDELEA VIZURI
Rejea taarifa yetu ya Jumatatu, 6.11.2023 kuhusu umuhimu wa kujenga maabara tatu za masomo ya sayansi...
Raisi Samia, usalama wa taifa, Chadema wenyewe, Spika Tulia wote wanajuwa ukweli.
Katika viongozi wa kisiasa wenye nguvu Tanzania kwa sasa ni Sugu. Sababu kubwa ni mmoja tu Serikali ya USA...
Luhanga Mpina akitoa mchango wake amesema, amesoma taarifa ya CAG mwaka 2021, amesoma majumuisho ya majibu ya serikali na mpango wa utekelezaji wa taarifa ya CAG, hakuna sehemu kwenye majumuisho...
Kwa nchi zilizostaarabika zinazoongozwa na Setikali zilizostaarabika, hakuna kilicho muhimu kama uhai wa wananchi wao.
Magaidi ya Hamas, yalipoingia Israel na kufanya mauaji makubwa na kisha...
Ninachofahamu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Mbunge wa Katiba.
Kadhalika miswada ya sheria huletwa bungeni na AG ambaye ni Mbunge.
Sasa nauliza, Ni Bunge linalotunga sheria?
Majawabu tafasali...
Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika...
CCM imekuwa na tabia ya kuwatumia baadhi ya wanasiasa nyakati za mawimbi makali ya kisiasa na kisha kuwatupa.
Malecela miaka ya nyuma alikuwa na nguvu sana ya kisiasa. Kwa taarifa yenu tu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.