Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,305
- 12,969
Wakuu, wakati wa JK kulikuwa na uhuru mkubwa wa vyombo vya habari kwa maana ya redio, magazeti, TV na mitandao ya jamii.
Baada ya kuingia Msafiri hali ikawa mbaya. Vyombo vingi vikapigwa pin, waandishi kukamatwa na kufunguliwa kesi na bichache bilivyobaki vikageuza muelekeo na kuanza kusifu na kuabudu.
Baada ya Msafiri kuondoka ghafla akaingia hawa. Kuna mabadiliko kidogo sana ya juu kwa juu lakini kiundani hali bado ni ilele. Zamani ikifika saa 2 jioni wengi tulikuwa tunaitegemea ITV lakini sasa siyo ile tena toka mmiliki wake Bwana Mengi atangulie hakini.
TV na redio zake nazo zimehamia katika mapambio ya sifa. Kila siku ni nukuu za Hawa utadhani sala ya Bwana. Magazeti nayo hakuna tena. Mitandaoni nako wanakaba. Wasanii nao wanapigwa pin wakiimba nyimbo za kukosoa na kuonesha madhaifu ya watawala. Sasa sijui ni chombo gani kiko huru kwa sasa tukakitegemea kuonesha kuwa malkia yuko uchi.