Ni kweli maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa yanapuuzwa?

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
Kuna Madai kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa maagizo anayotoa kwa mamlaka za serikali yanapuuzwa na hayatekelezwi na hivyo kumuondolea sifa ya kuendelea kuwa Waziri Mkuu na nimesikia baadhi ya watu wakiwashawishi wabunge kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye kwa kushindwa kusimamia majukumu ya uwaziri mkuu.

Je, madai haya ni ya kweli? na kama ni ya kweli ni maagizo gani ya Waziri Mkuu ambayo yamepuuzwa na watendaji wa Serikali?
 
Hayo maagizo yalitolewa kwa matamko tu au maandishi rasmi ya nyaraka za serikali?
 
Kuna Madai kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa maagizo anayotoa kwa mamlaka za serikali yanapuuzwa na hayatekelezwi na hivyo kumuondolea sifa ya kuendelea kuwa Waziri Mkuu na nimesikia baadhi ya watu wakiwashawishi wabunge kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye kwa kushindwa kusimamia majukumu ya uwaziri mkuu.

Je, madai haya ni ya kweli? na kama ni ya kweli ni maagizo gani ya Waziri Mkuu ambayo yamepuuzwa na watendaji wa Serikali?
hayo madai umeletewa wewe? Ni kwamba huna kazi ya kufanya kiasi hicho. Kicha kingingine sijui hata kinatibika Merembe
 
Back
Top Bottom