Waziri Mkuu Majaliwa: Watoa huduma za fedha punguzeni riba ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,567
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi.

Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha, ambapo ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa watoa huduma za kifedha.

Pia, Majaliwa ameisisitiza Wizara ya Fedha iendelee kusimamia na kuratibu utekelezaji wa Programu ya kutoa elimu ya fedha kwa umma na kuhakikisha kuwa elimu hiyo inawafikia wananchi wengi zaidi mijini na vijijini.
 
Riba za benki huwa ni matokeo ya ushindani wa soko huria, haziwezi kushuka kwa ombi au wito tu.
 
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi.

Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha, ambapo ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa watoa huduma za kifedha.

Pia, Majaliwa ameisisitiza Wizara ya Fedha iendelee kusimamia na kuratibu utekelezaji wa Programu ya kutoa elimu ya fedha kwa umma na kuhakikisha kuwa elimu hiyo inawafikia wananchi wengi zaidi mijini na vijijini.
Anawaomba? Kama sheria imewaruhusu na wanaona haiko sawa waibadili otherwise ni maneno kama anayosema Leo Leo akiwa jamii forums
 
Back
Top Bottom