Malalamiko ya kuendelea mgao wa Umeme! Kumbe shida sio January Makamba?

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta.

Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua.

Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona kama tumelipwa kumtetea makamba

Sasa makamba katoka, mtu waliyesema wa makamba maharage chande katoka na hadi bodi imetoka ila shughuli ipo paleplale

Kikubwa zaidi home boy wa jamaa zangu ndo kapewa Wizara na cheo cha Naibu PM juu ila shida ziko palepale

Sasa wale ndugu zangu mliokuwa kila simu mnaanzisha nyuzi kuhusu January Makamba swali langu kwenu. Je bado mnasmini tatizo la umeme shida ni January au akili zimewakaa sawa?
 
Shida ni ile $30 milion ya matengenezo.

Makamba ni mwizi failure aliyeshindwa kubadilisha chochote kwenye ile wizara, zaidi ya kuitumia kujipanga kwa matamanio yake binafsi ya kuusaka urais.

Biteko hata kama ndio ameanza, lakini afadhali yeye sio mwizi na hana zile kauli za kitoto "niueni".
 
Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta.

Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua.

Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona kama tumelipwa kumtetea makamba

Sasa makamba katoka, mtu waliyesema wa makamba maharage chande katoka na hadi bodi imetoka ila shughuli ipo paleplale

Kikubwa zaidi home boy wa jamaa zangu ndo kapewa Wizara na cheo cha Naibu PM juu ila shida ziko palepale

Sasa wale ndugu zangu mliokuwa kila simu mnaanzisha nyuzi kuhusu January Makamba swali langu kwenu. Je bado mnasmini tatizo la umeme shida ni January au akili zimewakaa sawa?
Toka kaondoka January na Maharage. Sasa hivi hata emergency ya Tanesco simu yao imekuwa na shida sana kupatikana na ukibahatika kuipata hakuna anayeijibu.
 
Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta.

Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua.

Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona kama tumelipwa kumtetea makamba

Sasa makamba katoka, mtu waliyesema wa makamba maharage chande katoka na hadi bodi imetoka ila shughuli ipo paleplale

Kikubwa zaidi home boy wa jamaa zangu ndo kapewa Wizara na cheo cha Naibu PM juu ila shida ziko palepale

Sasa wale ndugu zangu mliokuwa kila simu mnaanzisha nyuzi kuhusu January Makamba swali langu kwenu. Je bado mnasmini tatizo la umeme shida ni January au akili zimewakaa sawa?
Siyo Makamba vipi wakati yeye kapewa shirika hadi limeanza kupata faida .....mgao ulikuwa umekoma tz ....kaondoka chachota mabilioni ya pesa .....kakabidhi shirika katika mgao ...je yeye alikabidhiwa shirika likiwa mgawoni
 
January alikuwa ni tatizo na matatizo aliyoyaleta yataendelea kuwepo sababu hatuna utaratibu ya kufanya total overhaul.

Tanesco 2021 ilisaini mkataba wenye thamani ya Bilion 69.1 na Mahindra Tech ya India ili kupata "software" itakayoimarisha huduma kwa wateja. Kama

1.Kujua tatizo linapotokea.

2 Kuimarisha kituo cha kupiga simu(call center)

Tukaambiwa mfumo utaanza baada ya miezi 12 na kukamilika miezi 30 baadae.

Ila amini usiamini ni utapeli.

Je nchi ilishindwa kuwatumia wahandisi wazawa kubuni mfumo?

Je nani aliwatafuta hawa Mahindra tech ?

Mahindra Tech waliingia katika ushindani na makampuni yapi kugombea zabuni hiyo?

Zabuni iliyompata Mahindra Tech ilitangazwa lini na wapi?

Ukijua majibu ya maswali hayo hapo utajua tatizo liko wapi na linaendelea vipi.
WhatsApp-Image-2021-11-09-at-20.42.56.jpeg
 
Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta.

Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua.

Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona kama tumelipwa kumtetea makamba

Sasa makamba katoka, mtu waliyesema wa makamba maharage chande katoka na hadi bodi imetoka ila shughuli ipo paleplale

Kikubwa zaidi home boy wa jamaa zangu ndo kapewa Wizara na cheo cha Naibu PM juu ila shida ziko palepale

Sasa wale ndugu zangu mliokuwa kila simu mnaanzisha nyuzi kuhusu January Makamba swali langu kwenu. Je bado mnasmini tatizo la umeme shida ni January au akili zimewakaa sawa?
Ndio hiki kinachoongelewa, kuwa Watanzania wajinga hawazijui hasara. Wakipewa mkate tu wanakuwa watumwa. Mtu afanye uharibifu ambao unahitaji ghalama kubwa na muda mwingi kurudisha katika hali yake lakini wao hawaoni.
 
Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta.

Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua.

Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona kama tumelipwa kumtetea makamba

Sasa makamba katoka, mtu waliyesema wa makamba maharage chande katoka na hadi bodi imetoka ila shughuli ipo paleplale

Kikubwa zaidi home boy wa jamaa zangu ndo kapewa Wizara na cheo cha Naibu PM juu ila shida ziko palepale

Sasa wale ndugu zangu mliokuwa kila simu mnaanzisha nyuzi kuhusu January Makamba swali langu kwenu. Je bado mnasmini tatizo la umeme shida ni January au akili zimewakaa sawa?
Samia kawakomesha shenzi zao hawa,wanasumbuliwa na ukabila na udini tu
 
Waziri Makamba alikaa muda gani Wizarani na Swaiba wake Maharage na Dotto Biteko ana muda gani hapo Wizarani?
Makamba na Maharage walituambia wanakarabati mitambo ambayo haijakarabatiwa miaka mitano na sasa tunaona bado mitambo inakarabatiwa,sasa walikuwa wanakarabati mitambo gani?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta.

Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua.

Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona kama tumelipwa kumtetea makamba

Sasa makamba katoka, mtu waliyesema wa makamba maharage chande katoka na hadi bodi imetoka ila shughuli ipo paleplale

Kikubwa zaidi home boy wa jamaa zangu ndo kapewa Wizara na cheo cha Naibu PM juu ila shida ziko palepale

Sasa wale ndugu zangu mliokuwa kila simu mnaanzisha nyuzi kuhusu January Makamba swali langu kwenu. Je bado mnasmini tatizo la umeme shida ni January au akili zimewakaa sawa?
Unaowatetea walibomoa, unayemponda anajenga kulichobomolewa. Kwa ufahamu wako kipi kinakwenda haraka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom