Nawasalimu wanabodi. Hili andiko ameandika Mwandishi Bollen Ngetti katika ukurasa wake wa Facebook. Nami nalisukuma kwenu nzima nzima bila ku-edit.
______________________
KULILIA LEGACY YA...
Ni jambo jema kama Rais Samia umeliona jambo hili la upendeleo Kwa Watoto wa Viongozi na Vigogo wakiwepo Watoto wako.
Hakuna mtu anasema Watoto wa Viongozi wasipate kazi ila kuwe na mazingira...
Kwanza, tunamshukuru Mungu kwa kuzuia hujuma zisizo na huruma kwa CCM yetu baada ya kuepusha kupokwa kwa nafasi ya Katibu Mkuu jana. Shukrani zetu, kama makada waandamizi na wazee wa chama, ni kwa...
VIONGOZI MNATIJA GANI KWENYE MAENEO YENU YA UONGOZI, KUBORESHA MAISHA YA WANAOWAWEKA MADARAKANI.
Barua ya wazi Kwa Mhe. Rais wa JMT Dr. S.S.Hassan.
Imeandikwa Na:
Eng.Bishanga, Godfrey Charles...
Kelele zingelikuwa ndio kizuizi cha mtu kufikia hatima Yake, watu wengi tungelikufa mapema.
Tukiorodhesha tuhuma hapa kumhusu Makonda, kitabu chenye kurasa elfu kinajaa.
Tukisikiliza clips za...
30/11/2023
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Dkt. Abdul Aziz M. Abood anaendelea na ziara yake ya Kikazi kwenye Kata ya MAFIGA na Kata ya MBUYUNI.
Huu ni mwendelezo wa ziara yake inayopia...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ametembelea eneo ambalo kumetokea ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Ally’s Star lenye namba T.178 DVB likitoka Dar es Salaam kwenda...
Uchaguzi wa 2015 ulikuwa mzito na mgumu Sana kwa CCM, kuanzia ndani ya chama kwenye Kura za maoni, na pia nje ya chama dhidi ya vyama pinzani.
Kwanza CCM walianza kugawanyika baada ya Mkwere...
Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea...
Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa.
Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti...
Dar es Salam ilikaa kwa shwari
Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika
Majambazi walikimbia na kuaicha Dar.
Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.
Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani.
Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani.
====
Hatimaye...
Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake.
Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo...
Tumepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia.
Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili...
Yaani Polepole ni kada aliyewiva, na anakijua Chama Cha Mapinduzi, CCM
Yaliyompata Katibu Mkuu Daniel Chongolo alitabiri muda mrefu uliopita.
Mimi pia ni kada, lakini tunayoyaona sasa ni too...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukubali ama ukatae, uchukie ama ukasirike.utukane ama usonye.ulaani ama ubariki ukweli ni kuwa CCM na Serikali yake ndio bima ya matatizo,kero na changamoto za...
Mwaka huu Chama cha Walimu (CWT) kikiwa kinatimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kimekosa mdomo sahihi wa kuwasemea na kuwasaidia walimu wake sababu tu ya uongozi mbovu unaowanufaisha watu...
Kuna uwezekano wa Mhe Godbless Lema kuhamia chama Tawala chama Cha Mapinduzi ili aweze kugombea nafasi ya ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini.
Katika pita pita zangu maeneo mengi ya Arusha wazee ...
Serikali ya Tanzania Kupitia Shirika la reli TRC inatafuta pesa zaidi ya Shilingi Trilioni 14 sawa na Dola 5.6 Bilioni za ujenzi wa reli Mpya Kwa viwango vya Sgr kutoka Bandari ya Mbamba Bay...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.