Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin...
8 Reactions
57 Replies
6K Views
HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu! Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa? --- Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Makamu wa raisi wa JMT Dk nani sijui yule (nimemsahau jina), yule mzee wa kizanzibar, yuko wapi? mzima wa afya? Mi nilidhani kwa kusafiri raisi yeye ndiye angeachiwa mikoba, lakini naona Pinda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 Dr Wilbroad Slaa wakati huo akiwa GS wa CHADEMA na akiwa mchezaji tegemeo ktk safu ya ushambuliaji aliwatosa wenzake dakika chache kabla ya mchezo...
21 Reactions
108 Replies
6K Views
10 October 2023 Kampala, Uganda OPERESHENI KIMBUNGA YA TANZANIA YAFIKISHWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI Operesheni Kimbunga yasababisha serikali za Tanzania na Uganda, kushitakiwa mahakamani...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Gifty Msuya amejeruhiwa baada ya gari alilokuwa amepanda kugonga treni eneo la Iyumbu Jijini Dodoma walipokuwa wakitoka kwenye sherehe. Sherehe hiyo iliyofanyika juzi...
12 Reactions
47 Replies
7K Views
"Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa na kwa kuwa umeyakataa maarifa na mimi nimekukataa." Hili ndio neno lakutiongoza kama Taifa kuelekea mwaka 2023. Nikwanini Mungu analiambia Taifa juu...
32 Reactions
97 Replies
14K Views
Tahadhari mvua kubwa mikoa saba nchini Dar es Salaam. Baadhi ya maeneo katika mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Morogoro na Mtwara yanatarajia kupata mvua juu ya kiwango kwa siku...
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Baada ya kukosa thread nzuri ya kusoma,nimeamua kuandika thread yangu. Kwa hiyo Katibu Mkuu mpya ameshachaguliwa au bado mtutano unaendelea? Nampongeza Rais Samia kwa jinsi alivyoweza kuleta...
0 Reactions
1 Replies
633 Views
SUPHIAN STAR TV LEO 3:30 USIKU NA CHIFU ODEMBA Leo Jumamosi saa 3:30 usiku nitakuwa LIVE Star TV studio za Dar es Salaam Kipindi cha Medani za Siasa na Mtangazaji wa Kimataifa Chief Odemba...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Juma Raibu, aliyekuwa meya manispaa ya Moshi amesema Siku zote ukisimamia ukweli na haki huwezi baki salama, Amesema amejitahidi kadri ya uwezo wake. Amesema Viongozi wa CCM wilaya na mkoa...
7 Reactions
82 Replies
9K Views
Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Salim Alaudin Hasham amesema atahakikisha anapambana kutatua changamoto ya vifaa vya mashuleni ili kuinua kiwango cha ufaulu wilayani humo. Mbunge Salim...
0 Reactions
2 Replies
609 Views
Kama mtu ninayeheshimu ile dhana ya kutokuwa na hatia mpaka sheria ithibitishe hivyo, ( pressumption of Innocence ), sitaki Moja kwa Moja kumhukumu paulin Gekul aliyekuwa naibu waziri wa Katiba na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ishu sio CCM. Ishu je ni CCM gani? Je ni CCM ambayo inakumbatia wazembe na wapigaji? Je ni CCM ambayo mama mjane akidhurumiwa shamba au ardhi haimsikilizi? Au ni CCM ambayo kukitokea mgao wa...
0 Reactions
16 Replies
619 Views
Hakika inasikitisha na kushangaza sana hii ROHO ya KISHETANI ya baadhi ya Wanaccm wenye UCHU wa Madaraka kuandaa mpango haramu wa Kumdhalilisha KADA KIONGOZI na Mwanachama mwenzao Chongolo...
11 Reactions
94 Replies
9K Views
Habari wanaJF. Kwa wafuatiliaji wa mambo nchini,matukio ya wizi wa mabilioni ya pesa nchini sio jambo la ajabu.Tunasema ni wizi kwa sababu mazingira yenyewe yamejaa ukakasi na hata Serikali...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za wakati huu; Kwanza niseme nimesikitishwa sana na kitendo cha Polisi wa Mabatini kutumia Excessive Force na kuua Raia asiyekuwa na hatia katika kijiwe pendwa cha the Boardroom pale Sinza...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu, Mitandao ya kijamii imehamaki na kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu kuwa atakwenda Chato kumuombea hayati Magufuli. Amesema akifika Chato atamuamsha Magufuli aone CCM...
24 Reactions
66 Replies
4K Views
Kupitia X (zamani Twitter), Anaandika Hamisi Kigwangalla, Mbunge wa Nzega Vijijini Hivi baada ya a very carefully planned and executed mission ya kumuangusha Mhe. Gekul na Ndg. Chongolo, unaweza...
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Majuzi nilikuwa kijijini kwetu! Lengo kuu la safari yangu lilikuwa kuwasalimia ndugu na jamaaa, maana ni miaka mingi sana imepita toka nikanyage bush kwetu.Lakini nilipofika killage yalizuka...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Back
Top Bottom