Godbless Lema tunaomba uhamie CCM kwa sababu Arusha inahitaji mtu mwenye akili nyingi kama zako

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
491
763
Kuna uwezekano wa Mhe Godbless Lema kuhamia chama Tawala chama Cha Mapinduzi ili aweze kugombea nafasi ya ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini.

Katika pita pita zangu maeneo mengi ya Arusha wazee , viongozi na hata vijana wanasema Lema ana akili nyingi sanaa na akipewa nafasi hiyo ataipeleka Arusha mbaliii sanaa.

Lema jiandae kuingia chama Tawala chama kubwa chama Cha CCM ili ugombee nafasi ya ubunge.
 
hili jiji kama yatima nimepita viunga vya Olasiti ni maandaki kila mtaa huko hakuna barabara ..kufika huko inabidi utumie UNGO.....ni kama Kivu
 
Kweli kabisa maana jiji la arusha halijawahi kuwa na mbunge kama Lema.

Naona mmezimiss damu za watu wasiokuwa na hatia wanachadema.
 
Kuna uwezekano wa Mhe God bless lema kuhamia chama Tawala chama Cha Mapinduzi ili aweze kugombea nafasi ya ubunge wa Jimbo la arusha mjini.

Katika pita pita zangu maeneo mengi ya Arusha wazee , viongozi na hata vijana wanasema Lema ana akili nyingi sanaa na akipewa nafasi hiyo ataipeleka Arusha mbaliii sanaa.

Lema jiandae kuingia chama Tawala chama kubwa chama Cha CCM ili ugombee nafasi ya ubunge.
Ukiona choo ndotoni usikitumie,lema na hayo majambazi wapi na wapi!
 
Chadema ni CCM sema tu hawasemi kimeundwa na mwana ccm kuleta hamasa kwa wananchi kwamba wanachama chakuwasaidia nakuwatetea kumbe no
 
Endelea kujifariji hivyo hivyo, badala ya kuilaumu ccm yenye matundu ya kupitisha taarifa nyeti za chama ww kwa akili zako fupi unailinganisha na chadema....Shauri yako
 
Lema huyu huyu wa sakata la bodaboda ambapo wanaccm weng walitoka mafichoni kumtukana na kumuita mjinga
Kuna uwezekano wa Mhe God bless lema kuhamia chama Tawala chama Cha Mapinduzi ili aweze kugombea nafasi ya ubunge wa Jimbo la arusha mjini.

Katika pita pita zangu maeneo mengi ya Arusha wazee , viongozi na hata vijana wanasema Lema ana akili nyingi sanaa na akipewa nafasi hiyo ataipeleka Arusha mbaliii sanaa.

Lema jiandae kuingia chama Tawala chama kubwa chama Cha CCM ili ugombee nafasi ya ubunge.
 
Kuna uwezekano wa Mhe Godbless Lema kuhamia chama Tawala chama Cha Mapinduzi ili aweze kugombea nafasi ya ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini.

Katika pita pita zangu maeneo mengi ya Arusha wazee , viongozi na hata vijana wanasema Lema ana akili nyingi sanaa na akipewa nafasi hiyo ataipeleka Arusha mbaliii sanaa.

Lema jiandae kuingia chama Tawala chama kubwa chama Cha CCM ili ugombee nafasi ya ubunge.
Mbuzi hawezi kuwekwa zizi moja na mafisi🤣
 
hili jiji kama yatima nimepita viunga vya Olasiti ni maandaki kila mtaa huko hakuna barabara ..kufika huko inabidi utumie UNGO.....ni kama Kivu

Kaka punguza chumvi. Umepita olasiti halaf una conclude arusha nzima?
Kwa arusha maeneo mengi yamewekwa lami tokea magu aingie madarakani.
Now even morombo

Umeandika as if arusha ni vijijini sana
 
Kuna uwezekano wa Mhe Godbless Lema kuhamia chama Tawala chama Cha Mapinduzi ili aweze kugombea nafasi ya ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini.

Katika pita pita zangu maeneo mengi ya Arusha wazee , viongozi na hata vijana wanasema Lema ana akili nyingi sanaa na akipewa nafasi hiyo ataipeleka Arusha mbaliii sanaa.

Lema jiandae kuingia chama Tawala chama kubwa chama Cha CCM ili ugombee nafasi ya ubunge.
Kwanini CCM isihamie chama cha Lema ?
 
Hapo mnamuhitaji Lema au CCM?
 
Atawaambiaje wale waliolaaniwa aka bodaboda au laana yao imeshaisha..? Aendelee na biashara ya magari na ujambazi ubunge aachane nao
 
Back
Top Bottom