Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.
Kiukweli Mzee wa "kataa wahuni" analog kundi kubwa sana Tena zaidi hata ya MAKONDA.
Sasa fikiria...
Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Hayati Mwl Dr Baba wa Taifa Nyerere. Hapa Unguja si maarufu Sana Kama huko bara alitupora nchi yetu Zanzibar kwa mwamvuli wa Muungano ( usionufaisha Zanzibar), pia...
makosa tunayotakiwa kurekebisha Kama nchi, kwa baadhi, ni kama ifuatavyo:
1. kutokuwa na mfumo rasmi wa kiuchumi.
Katiba yetu ya mwaka 1977, ibara ya 3 (1) inaitambua Tanzania Kama nchi yenye...
Kwa sasa Tanzania Hali ya Maisha Ni mbaya na Wananchi hawana fedha. Na hivyo hawana Nguvu ya Kushiriki Kuchochea "Demand" Uhitaji wa Bidhaa na Huduma, na Kwa Hivyo "SUPPLY" ya Watoa huduma na...
Huu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili...
Makala haya yanahusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango alioifanya Mkoa wa Kagera. Makamu wa Rais alifungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika...
Wadau mie ni mkazi wa Jimbo la Kigamboni Kata ya Vijibweni. UMbunge wetu ni Ndg Ndungulile.
Kusema ukweli wakazi wa KATA hii tunapitia Changamoto nyingi sana kubwa kuliko ni UBOVU wa BARABARA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5th Budapest Demographic Summit) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano...
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi...
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu
Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na...
Jeshi la Polisi mkoani Mara limesema halitasita kuwachukulia hatua kali wote watakaojihusisha na vitendo vya ukeketaji katika mkoa huo wakati wa likizo ya mwisho wa mwaka.
Musoma. Jeshi la Polisi...
Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya...
Salam kwenu nyote,
Haya mabadiliko na makelele ya wastaafu mnayo yasikia si bure. Tupongeze vyombo vya usalama kwa kuamua kumwambia ukweli kiongozi wa nchi. Na pia tuwapongeze kwa kumfanya aweze...
1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce .
Media uchwara zikategesha kamera mbele ya...
Asalaam Aleykum wapenzi wana JF.
Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wiki nzima nimekuwa nahaha kupata walau dola za Marekani 200 ili nifanye kununua vifaa fulani...
Salam,
Nimekua najiuliza mara nyingi sana kuwa hizi nguvu zinazotumika kushabikia vita au maasi kwenye nchi ambazo wala hazituhusu, si tungezitumia hapa kwetu kukemea maovu? Mfano ni haya...
JIMBO LA KALIUA: KITUO CHA AFYA CHA USINGE CHAPOKEA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA ZAIDI TSH. MILIONI 200
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Amin Vasomana ameshiriki zoezi la kupokea vifaa Tiba...
LIST OF SHAME.
Watu ambao wamesababishia taifa hasara kubwa, hasara isiyolipika:
Nafasi zao ama kisiasa ama kiserekali kama watendaji wamesababisha hasara itaayolipwa na vizazi vyote Tanganyika...
Baada ya picha ya madarasa ya Shule ya Msingi Magomeni ya Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kusambaa zikionesha uhaba wa Madawati na miundombinu chakavu, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.