Nimetazama list hii nimebaini majina kadhaa ya watu wenye hadi zao Mjini ambao nao wamenyang’anywa mashamba ya Kilimo cha Korosho baada ya kutoyaendeleza, kwanza kabisa namba mmoja ni Waziri Mkuu...
Kwa uchache Sana,
Hii si Hali ya kawaida mwenyekiti jitathmini kama unafaa kuwatumikia Watanzania au haufai. Kwangu Mimi haufai.
Fikiria tu huyu ni katibu mkuu wa chama kaandamwa na skendo za...
Hii ni programu Maalumu ya Rais Samia kuhakikisha azma ya Tanzania kuwa kitivo Cha Utalii wa Matibabu ambapo inaenda sambamba na ujenzi na uimarishaji wa Miundombinu ya Kutokea Huduma za Afya Nchi...
Kwenye nchi ambazo utendaji wa taasisi hauhitaji masihara, mteule mpya hasherehekei uteuzi wake. Mteule hatumii uteule wake kuwasimanga wengine ama kutengeneza mipasuko. Mteule wa huko hutumia...
Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza...
Wakati wao wanalogana ili kugombea vyeo vya Kinana na Chongolo , Chadema Musoma Mjini imekutana na viongozi wao wa Vijiji, Kata na Jimbo kupanga utaratibu wa kuiua ccm kwenye eneo hilo .
Mkakati...
Inadaiwa hapa ni Sinza polisi waliingia Bar inaitwa Boardrom wakatishia wateja kwa bunduki kisha wakampiga risasi mlinzi. I tell you Rais Samia kuna siku hasira zitafumuka raia wataangusha...
Taarifa kwa wanafunzi 238 wa Samia Scholarship 2022/2023 ambao wamepata chini ya GPA ya 3.8.
Leo tar.2/Novemba /2023 niliandika taarifa ya kwamba wanafunzi 238 kati ya 640 ambao wana ufadhili wa...
Kenya inapanga kuuza Mashirika yake ya umma zaid ya 10 ikiwemi kituoa cha mikutano cha kimataifa cha Kenyata.
Tanzania watawala bado wanakumbatia mashirika ya umma vilivyo, ukiaambia shirika kama...
Anaandika Zitto Kabwe, Kiongozi wa ACT-Wazalendo.
Katika mazungumzo yangu na Maafisa Mipango na Wachumi wa Wizara, Idara, Mashirika ya Umma, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Nchi nzima...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa ameelekeza Uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuongeza watoa huduma ili kuboresha huduma ya...
Ni mgogoro wa muda mrefu toka 1974 wa kipande cha ardhi cha hekari 67 uliotatuliwa na Kumalizwa na Mheshimiwa Lukuvi aliyekuwa Waziri wa ardhi. Taasisi ya kilimo Uyole ilishindwa kuwalipa fidia...
Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima...
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini
Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea...
Maandiko yanasema muuaji na mtesaji kwa watu wasio na hatia damu hizo zitawalilia mpaka kizazi cha nne, Sabaya ni kizazi cha kwanza cha utesaji akirithi kwa Baba yake.
leo 25-11-2022 Sabaya "...
Mzee Joseph Butiku amesema watu wote wanaliopigania haki wamepata misukosuko kutokana na tabia za binadamu kutojali haki za wengine. Amesema kuwa haki za binadamu zina misukosuko kutokana na...
Akili na ustaarabu unaanzia kwenye mipango miji.
Kama kuna Rais anayetafuta legacy ya kudumu asimamie mipango miji. Mipango miji ni legacy ya milele. Ukishapanga mitaa na barabara zitabaki hivyo...
Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Barabara inayopandisha Mbezi Juu (inayopandisha kushoto juu, pale kituo cha tangi bovu) ipigwe lami mpaka inapokutana na Goba Road.
Hii itasaidia usafiri, itapunguza foleni, na itachochea kukua...
Mitaa ya Mbezi Kimara, Kibamba hadi Goba inajengwa kwa kasi kubwa sana na serikali iko usingizini wakati watu wanajenga bila utaratibu. Barabara hazipitiki gari zinapishana kwa kuviziana.
Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.