Wanaolilia legacy ya Hayati Magufuli someni alichoandika Bollen Ngetti

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
396
1,377
Nawasalimu wanabodi. Hili andiko ameandika Mwandishi Bollen Ngetti katika ukurasa wake wa Facebook. Nami nalisukuma kwenu nzima nzima bila ku-edit.
______________________

KULILIA LEGACY YA MAGUFULI NI UJINGA

Na Bollen Ngetti

INACHEFUA sana na kutia kinyaa kuona, kusoma au kusikia watu wazima ndani na nje ya Bunge wakipiga mayowe eti Watanzania wanapaswa kuenzi "legacy" ya Hayati John Magufuli. Inafedhehesha sana.

Baadhi ya hao wanaoigiza "kidali poo" mchezo wa watoto wanalalamika eti kuna watu wanasifia utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa shabaha ya kuzika na kufuta "legacy" ya Magufuli. Utopia.

Kinachotoa matumaini ni kwamba wengi wao ni kina Mulaga ambao kwao elimu Darasa la Saba ndio PhD katika kijiji kizima. Aibu ilioje!

Ndugu zangu, HAKUNA "legacy" YOYOTE aliyoacha John Magufuli, Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa, Alli Hassan Mwinyi na nina mashaka hata Samia Hassan asipojifunza kwa watangulizi wake naye hatoacha "legacy" yoyote. Naye atapita tu kama upepo pamoja na kwamba mimi ni miongoni mwa wanaomuunga mkono 100% kwa gia aliyoanza nayo.

Tusitumie vibaya neno "legacy" na kuichanganya na kumbukumbu "memory". Tunakosea.

Legacy haijengwi kwenye vitu na matendo (actions). Kujenga daraja la Mfugale na Busisi si "legacy". Hizo ni kumbukumbu tu. Legacy hujengwa katika mawazo (ideas).

Mbunge wa Temeke Masumbuko Lamwai alipojenga daraja la Manzese linalopita juu, Dar ilizizima kuona watu wanaweza kuvuka barabara kwa kupita juu!? Ulikuwa ni "Utalii". Lamwai hakuacha "legacy" bali "memory" maana Ubungo Interchange imeifuta. Kesho kutwa tutajenga barabara ya juu kutoka Ubungo hadi Kibaha. Hutolikumbuka Ubungo Interchange tena.

Magufuli kusimamia ujenzi wà SGR, Bwawa la Nyerere, Elimu "bure", ununuzi wa ndege nakadhalika. Yote hayo ni "memories".

Mwalimu Nyerere alipoanzisha siasa ya Ujamaa, Azimio la Arusha. Alijenga "idea" ndani ya vichwa vya Watanzania. Mwl ameacha "legacy" inayoishi. Wapo viongozi wengi duniani walioacha "legacy" kwa kuasisi "ideas" ambayo inaishi. Yesu na Mtume SAW waliacha "legacy" si "memory".

Tatizo la viongozi wetu (sitegemea SSH naye ataangukia humo) huongozwa kwa kauli mbiu zisizo na falsafa. Uwezo wao wa kuona na kufikiri ufikia ukomo na umbali wa miaka mitano hadi kumi. Ukisikia kiongozi anasema, "sitoi chakula cha bure utawala wangu subirini nitoke" huyo hana maono, hawezi kuacha legacy but memory.

Laiti tungezijengea falsafa kauli mbiu hizi kwa kuona Tanzania ya miaka 50, 100 hadi 200 tungepiga hatua kubwa. Labda Samia atakaribu lakini naye hatujui falsafa ya kauli mbiu "Kazii iendelee" .

Jakaya alikuja na Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya pamoja na Maisha Bora kwa Kila Mtanzania. Hakuna maono, hipita kama upepo.

Mkapa "uwazi na ukweli" ikageuka "uficho na uongo". Mwinyi "ruksa na fagio la chuma" ikawa fagio la pamba. Ni kana kwamba wanashindana kuwafukarisha wananchi wenzao.

Tunapolinganishwa na baadhi ya nchi tuliokuwa nao pamoja miaka ya 60 na leo wamepiga hatua utakuta walikuwa na visheni kali iliyojengwa na falsafa.

Kwa Marekani mfano: huwezi kuwa Raia bila kwanza kuandika kitabu au makala kadhaa kuonesha watu nini falsafa yako kasoro Donald Trump. Sisi tunaandika vitabu baada ya kustaafu isiyotusaidia kitu.

Nimeomba kuonana na Raia Samia nimuulize nini falsafa yake inisaidie kuandika kitabu ninachoandika juu yake nimefukuzwa getini na "mitulinga". Nchi ya ajabu sana.

Nihitimishe kwa kusema Magufuli alizaliwa Chato, akaishi, akatuongoza, akafariki, akazikwa Chato, finito! Hana "legacy' yoyote. Chapeni kazi. No Legacy any more! Karibuni!
 
Naunga mkono hoja. Mwendazake ameacha majeraha kwa Watanzania wengi baada ya kuwavurugia mipango yake ya maisha.

Legacy yake itakuwa ni Rais wa Tanzania aliyekuwa muuaji, mwizi, mwongo, mkandamizaji wa demokrasia ambaye alikataa uwapo wa COVID19 na akafa kwa hiyo hiyo COVID19.
 
Wengine tulishamsahau, tafadhali msitukumbushe huyo mtu! Alijiona Mungu mtu...
 
Hawaoni haya wanaopambania legacy ya Magufuli. Tangu ilipovuma kuwa anaumwa nguvu kubwa ilitumika kuuzima uvumi huo. Ilipotangazwa kafariki nguvu kubwa ilitumika kuzuia watu wasishangilie.

Wakati wa maombolezo nguvu kubwa imetumika kulazimisha watu kuomboleza. Na hata wakawekwa wasanii wa kuigiza kuzimia ili ionekane mwendazake anapendwa Sana.

Sasa ujinga unaendelea kulazimisha legacy.

Legacy'??.... Legacy' my foot.
 
Nawasalimu wanabodi. Hili andiko ameandika Mwandishi Bollen Ngetti katika ukurasa wake wa Facebook. Nami nalisukuma kwenu nzima nzima bila ku-edit.
______________________

KULILIA LEGACY YA MAGUFULI NI UJINGA

Na Bollen Ngetti

INACHEFUA sana na kutia kinyaa kuona, kusoma au kusikia watu wazima ndani na nje ya Bunge wakipiga mayowe eti Watanzania wanapaswa kuenzi "legacy" ya Hayati John Magufuli. Inafedhehesha sana.

Baadhi ya hao wanaoigiza "kidali poo" mchezo wa watoto wanalalamika eti kuna watu wanasifia utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa shabaha ya kuzika na kufuta "legacy" ya Magufuli. Utopia.

Kinachotoa matumaini ni kwamba wengi wao ni kina Mulaga ambao kwao elimu Darasa la Saba ndio PhD katika kijiji kizima. Aibu ilioje!

Ndugu zangu, HAKUNA "legacy" YOYOTE aliyoacha John Magufuli, Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa, Alli Hassan Mwinyi na nina mashaka hata Samia Hassan asipojifunza kwa watangulizi wake naye hatoacha "legacy" yoyote. Naye atapita tu kama upepo pamoja na kwamba mimi ni miongoni mwa wanaomuunga mkono 100% kwa gia aliyoanza nayo.

Tusitumie vibaya neno "legacy" na kuichanganya na kumbukumbu "memory". Tunakosea.

Legacy haijengwi kwenye vitu na matendo (actions). Kujenga daraja la Mfugale na Busisi si "legacy". Hizo ni kumbukumbu tu. Legacy hujengwa katika mawazo (ideas).

Mbunge wa Temeke Masumbuko Lamwai alipojenga daraja la Manzese linalopita juu, Dar ilizizima kuona watu wanaweza kuvuka barabara kwa kupita juu!? Ulikuwa ni "Utalii". Lamwai hakuacha "legacy" bali "memory" maana Ubungo Interchange imeifuta. Kesho kutwa tutajenga barabara ya juu kutoka Ubungo hadi Kibaha. Hutolikumbuka Ubungo Interchange tena.

Magufuli kusimamia ujenzi wà SGR, Bwawa la Nyerere, Elimu "bure", ununuzi wa ndege nakadhalika. Yote hayo ni "memories".

Mwalimu Nyerere alipoanzisha siasa ya Ujamaa, Azimio la Arusha. Alijenga "idea" ndani ya vichwa vya Watanzania. Mwl ameacha "legacy" inayoishi. Wapo viongozi wengi duniani walioacha "legacy" kwa kuasisi "ideas" ambayo inaishi. Yesu na Mtume SAW waliacha "legacy" si "memory".

Tatizo la viongozi wetu (sitegemea SSH naye ataangukia humo) huongozwa kwa kauli mbiu zisizo na falsafa. Uwezo wao wa kuona na kufikiri ufikia ukomo na umbali wa miaka mitano hadi kumi. Ukisikia kiongozi anasema, "sitoi chakula cha bure utawala wangu subirini nitoke" huyo hana maono, hawezi kuacha legacy but memory.

Laiti tungezijengea falsafa kauli mbiu hizi kwa kuona Tanzania ya miaka 50, 100 hadi 200 tungepiga hatua kubwa. Labda Samia atakaribu lakini naye hatujui falsafa ya kauli mbiu "Kazii iendelee" .

Jakaya alikuja na Ari Mpya, Nguvu Mpya na Kasi Mpya pamoja na Maisha Bora kwa Kila Mtanzania. Hakuna maono, hipita kama upepo.

Mkapa "uwazi na ukweli" ikageuka "uficho na uongo". Mwinyi "ruksa na fagio la chuma" ikawa fagio la pamba. Ni kana kwamba wanashindana kuwafukarisha wananchi wenzao.

Tunapolinganishwa na baadhi ya nchi tuliokuwa nao pamoja miaka ya 60 na leo wamepiga hatua utakuta walikuwa na visheni kali iliyojengwa na falsafa.

Kwa Marekani mfano: huwezi kuwa Raia bila kwanza kuandika kitabu au makala kadhaa kuonesha watu nini falsafa yako kasoro Donald Trump. Sisi tunaandika vitabu baada ya kustaafu isiyotusaidia kitu.

Nimeomba kuonana na Raia Samia nimuulize nini falsafa yake inisaidie kuandika kitabu ninachoandika juu yake nimefukuzwa getini na "mitulinga". Nchi ya ajabu sana.

Nihitimishe kwa kusema Magufuli alizaliwa Chato, akaishi, akatuongoza, akafariki, akazikwa Chato, finito! Hana "legacy' yoyote. Chapeni kazi. No Legacy any more! Karibuni!
Legacy ambayo hatutakaa tuisahau ni Udikteta, watu kupoteza na hatujui walipo, wengine wamebaki vilema, wafanyabiashars wakubwa baadhi kuteswa na kukimbia nchi ambapo biashara zao zilifilisiwa au kufa na kusababisha ajiraa nyingi kufa. Ni mengi mno ambayo Tanzania hatukuzoea. Hata muasisi wa Taifa hili ukipingana naye sana au ukifanya kosa kubwa ilikuwa unarudishwa kijijini unaishi huko na hupotei. Kumbukeni Marehemu Tumtemeke Sanga, Mzee Jumbe n.k.
Hivyo Tanzania tuliona nchi imebadilika kuwa Kosovo. Hiyo ndiyo Legacy. Haitasahaulika kamwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom