Maryam Malya
Senior Member
- Nov 29, 2021
- 115
- 258
Mwaka huu Chama cha Walimu (CWT) kikiwa kinatimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kimekosa mdomo sahihi wa kuwasemea na kuwasaidia walimu wake sababu tu ya uongozi mbovu unaowanufaisha watu wachache ambao wanaongozwa na Japhet Maganga.
Tangu awe Katibu Mkuu wa CWT Japhet Maganga ameshindwa kuleta umoja na ushirikiano baina ya Walimu kwa Walimu hasa wa tabaka la chini zaidi ametengeneza tabaka kubwa kati ya Walimu wenye nafasi CWT na wasiokua na nafasi kabisa, hii imepelekea hadi Walimu kuanzisha chama kingine.
Maganga ameamua kuunda genge lake maalum kwenye chombo cha Kamati Tendaji Taifa ya CWT, ambao wajumbe wake wengi wanatokea mikoani na wilayani.
Maganga amekua akiwabrain wash wajumbe wa Kamati Tendaji Taifa hasa wanaotokea mikoani, amekua akiwapa pesa za mara kwa mara ambazo ni kinyume na utararibu wa kiofisi ukizingatia wana mishahara yao, mfano kuelekea Siku ya Mwalimu Duniani, Maganga ametoa Posho za Shilingi Milioni 10 kwa Wajumbe wa Kamati Tendaji wote (Makatibu na Wenyeviti wa CWT) mikoani na wilayani bila sababu ya msingi wakati kuna sherehe moja ya kitaifa inayoandaaliwa Makao Makuu na walimu watashiriki.
Hivyo Maganga mpaka sasa alichokifanya kuigawa Kamati Tendaji Taifa ya CWT na kuchukua Robo Tatu ya wajumbe wake ambao wameingia kwenye mfumo wake na wanafaidika kupitia yeye na hivyo tusitegemee Maganga kuadhibiwa au kuchukuliwa hatua na Kamati Tendaji ya CWT kwa sababu Akidi yote ameikamata, hivyo ni sawa na kusema Maganga ni mwizi aliyeiba meno ya Chama Cha Walimu.