Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza.
Makubaliano hayo yamesainiwa...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Hawa Ghasia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya shirika la Masoko Kariakoo .
Tunampongeza mteuliwa kwa kupewa kitengo kipya .
Lakini tungali bado na maswali...
Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa.
Na ilipofika tarehe 17 march mwaka huu walioomba nafasi hizo waliitwa kwenye...
Ukahaba mkoani Dar es Salaam na nchi hii kwa ujumla unafanyika kila mahali, sio katika madanguro ya Mwananyamala tu. Ukahaba unafanyika katika Lodges, Hoteli kubwa, maofisini kwa watu, katika...
Henry Kissinger, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kaja Tanzania kupatana na Rais Nyerere kuhusu jambo. Alikutana na mabango mengi. Leo hii leo hii leo hii mzungu kutoka Marekani mwenye cheo hiki...
CCM ni tasisi na kila tasisi ina mfumo wa ukuaji wa wafanyakazi wake kivyeo. Ila CCM kuna maeneo inafikirisha.
Nimefuatilia kwa muda teuzi za nafasi mbalimbali ndani ya CCM haswa ya Katibu Mkuu...
Kwa kawaida Serikali huwa imejipanga vizuri sana inapokuwa imetoa kibali cha ajira kwenye utumishi wa umma kuhusu haki na stahiki za waajiliwa wapya. Lakini huwa kuna tatizo kubwa kwa watendaji...
Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania
Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere
Kipindi...
Inaelekea miaka 3 sasa tangu waliokataliwa na shujaa hayati Magufuli kurudishwa tena serikalini kwa kubebwa na Rais Samia lakini wameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi na sasa wako hoi kisiasa...
Hapo vipi!
Ninachoamini waziri wa michezo anauwezo wa kuingiliia jambo ambalo halipo vizuri na linaonekana kuvuruga au kuharibu vilabu zetu kubwa hususani Club ya Simba na Yanga.
Tukumbuke...
Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi (ndc) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji - TBC Ndg. Stephene Kagaigai na Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Dkt. Ayub Rioba...
Chama cha Mapinduzi kimefanya Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kilijadili hali ya Kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama
Aidha, kimefanya...
Ujio wako mkoa wa Kilimanjaro fedha zinaombwa kila mahali, na huna Habari fedha zinakusanywa tena Kwa fedhea kubwa.
Ulipanga safari bila kuwa na Bajeti ya safari zako mkoani Kilimanjaro? Kama...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe...
29/11/2023
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Dkt. Abdul Aziz M. Abood ameendelea na ziara yake ya kikazi kwenye Kata ya KINGO, MAFIGA, MWEMBESONGO, MJI MPYA NA MAFISA.
Huu ni mwendeleze wa ziara...
Barua inayodaiwa kuandikwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuhusu kujiuzulu wadhifa huo, ni miongoni mwa mambo yanayojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu (CC) ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Kazi ya Serikali si kugawa Fedha bali ni kutengeneza mazingira ya kupata Fedha na ili kupata Fedha inaamanisha...
KWENYE SIASA HAKUNA KUWA KATIKATI"NEUTRAL" MTAWALA LAZIMA AAMUE KUSUKA AU KUNYOA. VINGINEVYO ANGUKO NI HAKIKA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Siasa inakanuni zake, na moja ya kanuni hizo ni...
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi...
Unaweza kufuatilia tu kuanzia kwa Gama, Mangula, Makamba, Mkama, Kinana, Bashiru na sasa Chongolo utagundua kuingia na Kutoka kwao ni kwa mizengwe mizengwe.
Labda Ndio Siasa za Mfumo wa vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.