Kada Humphrey Polepole alisema juu ya yatakayompata Chongolo

Kwamba Chongolo Amenyooka..... !!!??? Hivi kweli kwa akili yako unadhani mtu myoofu anaweza kwenda huko kama Amenyooka ?

Yaani hawa ndio role models wako wanaamini kwenye uchawi na kulogana, yaani hawa ndio tunawategemea watuvushe katika karne hii kwa fikra za karne ya zama za mawe ?
 
Kwamba Chongolo Amenyooka? Hivi kweli kwa akili yako unadhani mtu myoofu anaweza kwenda huko kama Amenyooka ?

Yaani hawa ndio role models wako wanaamini kwenye uchawi na kulogana, yaani hawa ndio tunawategemea watuvushe katika karne hii kwa fikra za karne ya zama za mawe?
CCM wamekalia uchawi, hakuna cha PhD wala nn. Fitna ndiyo usiseme. Tukiwaambia hawa CCM kesi zote za Chadema ni za michongo wako watakaokataa lkn ukweli wanaufahamu. Wako watakaokataa kwa sababu wako gizani. Hawajui lolote ndani ya Chama Chao CCM mradi wanajaza matumbo yao basi.
 
Nadhani huyu ndiye anafaa kuwa KM...

Haka kajamaa kako strong enough kuhimili fitna ndani ya CCM...

Makonda hata kama atabaki kwenye position yake, Kwa Polepole anaweza kunyooka..

Bi. Samia Suluhu Hassan kama ana akili, ampendekeze huyu na apewe u - KM
 
Naona mnaanza kumfanyia campaign Polepole .Jee yeye na Makonda wataendana, kwani Makonda alipotengwa na Magu, Bw.PP hakumpa msaada wowote na alizidi kumtenga. Na nani atakaye midi mwenzake BLABLA
 
Back
Top Bottom